Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Subiri October 28; zimebaki wiki mbili tu. Tanzania tuna bahati sana kwani tuna wataalamu wengi kama "Msaga sumu," "Sugu," na "Machozi;" mmojawapo anaweza kukuhudumia baada ya October 28
 
Subiri October 28; zimebaki wiki mbili tu. Tanzania tuna bahati sana kwani tuna wataalamu wengi kama "Msaga sumu," "Sugu," na "Machozi;" mmojawapo anaweza kukuhudumia baada ya October 28
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wapi uwanja wa ndege wa Mwanza ulipigwa vita na chadema?

Kwa nini ukiwa mshabiki wa CCM lazima uwe muongo mzushi kama Polepole? Hivi mna laana gani?

Mataahira pekee ndio watakaokuangalia star TV ukifanya kampeni, labda umuweke na diamond
 
Unaweza ukauthibitisha ukabila wa Magu? Pia nimetamka ukabila hapo!
IGP msukuma, jaji mkuu msukuma, mlipaji mkuu mtoto wa dada, mkuu wa majeshi msukuma, DPP msukuma.

UKANDA, katibu mkuu mhaya, mwenezi musoma. Msomali wa Arusha na mmakonde Nape pigwa chini
 
aende na Butiama amwite walimu muovu aone kama atatoka salama
 
Sio kweli bana. Tume ndio huratibu ratiba na imemnyima Lissu baadhi ya sehemu kwasababu wamepangiwa wagombea wengine wa vyama 15.
 
Hata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,
Nyie subilini uhuruwa kusafishwa migongo.
Akiri =akili
Wamakubebea= wamekubebea
Subilini = subirini
Uhuruwa = uhuru wa

Sasa sema unachotaka kusema
 
Subiri October 28; zimebaki wiki mbili tu. Tanzania tuna bahati sana kwani tuna wataalamu wengi kama "Msaga sumu," "Sugu," na "Machozi;" mmojawapo anaweza kukuhudumia baada ya October 28
Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.

Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unarudia jibu lile lile; yaani hujui mambango haya?

Chadema acheni porojo,njooni na sera zenu,mambo ya kusema wengine sio tija,nyie tuelezeni mtatufanyia nini watanzania?maana leo anaenda kutembelea kiwanja you are wasting your time ya kampeni,juzi ulikuwa kifungoni why wasting time??????
Leo una sympathize shortcomings za CHADEMA? Kwa nini usifurahie kuwa wanapoteza muda wa kampeni ili chama chenu chakavu kishinde kwa kishindo?
 
..ammendments inawezekana kwa wana-ccm tu.

..catherine ruge mgombea wa cdm serengeti alijaribu kufanya ammendments akaishia kupigwa na kudhalilishwa na polisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…