Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Subiri October 28; zimebaki wiki mbili tu. Tanzania tuna bahati sana kwani tuna wataalamu wengi kama "Msaga sumu," "Sugu," na "Machozi;" mmojawapo anaweza kukuhudumia baada ya October 28Kila mahali kuna Bango la Meko. Tunakaribia kumaliza Kampeni na bado sijaona bango hata moja la Tundu Lissu.
Swali: anawezaje kupata Nyomi kwenye mikutano ya hadhara bila ya matangazo? System wangetafakari hili swali sana maana jibu lake linaweza kuwaelimisha
Sent using Jamii Forums mobile app