Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Akili zako fupi sana. Yan mpk leo hujui kwamba siasa ndiyo inaamua maisha yako!! acha ujinga!
 
Kamanda Husna usiku wa kuamkia leo wamemvamia nyumbani kwake na kuchoma moto nyumba na mali zake mbalimbalk...MUNGU AMTIE NGUVU...
Sijaelewa KAMANDA!! anachomewa nyumba? KAMANDA huwa ni mtu hatari si rahisi hivyo.

Lakini kama kawaida yenu Chadema kutengeneza matukio kutafuta kick za kisiasa kila mkiona haziendi mnatumia mioto utasikia ohh ofisi ya Chadema YACHOMWA moto ohh moto moto.

Hizo picha zenyewe za moto na kubomelewa mmmmm zinatia shaka
 
Jpm 2020/2025
 
Lodilofa anapenda kiki sana. Huu si ndo uwanja anaounanga na kuutukana kila siku, aangalie raia wasimpopoe na mawe maana kawabeza vya kutosha. Inafikia hatua mtu unahisi labda wananchi wa Chato sio watanzania na hawapaswi kufanyiwa lolote jema na serikali yao.
 
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights
Tuliaia dadaa naona unawashwa washwa ngoja mwamba afike kuangalia iyo 49B zimetumikaje.

Kujenga chato n ubinafsi tu wa Meko so tumeshamsema kwa ubinafsi wake.

Ngoja Sasa tukaangalie ufisadi wa 49B tumseme kwa Hilo maana nasikia huko mwananchi wa kawaida hafiki ngoja rais aende.
 
Kajifunze kwanza Kiswahili ndiyo urudi hapa. Mmeishiwa sera hamna Hoja tena
 
Serengeti mbuga kubwa yenye maajabu haina uwanja wa kimataifa licha ya kupokea watalii duniani kote. Serengeti ina ka-airstrip kavumbi iweje chattle pawe na uwanja wa kimataifa wakati hakuna watalii kabisa? Huu ni ufisadi mkubwa!
 
Kanda ya ziwa anapoteza muda Dar imemshinda kakimbilia ambako kura hazitatosha. Kawaida ya wasukuma wao wakarimu kwa kila mgeni, ila kwa jambo lao huwezi kuwatoa, somo la magufuli walishalielewa kabla hata kampeni hazijaanza.Kule ndiyo anakwenda kujizika kabisa.
 
Embu nieleze economic benefits ya uwanja wa chato kwa wakazi wa chato ni nini?
Nikuulize economic benefit ya hoteli ya kitalii kama hii hapa iliyoko Chato ni nini?

 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Hahaaa
 
Huyu Mzee kuna uwezekano akawa siyo raia halisi wa nchi ya Puerto Rico kama baadhi ya wadau wanavyo mtuhumu. Huenda kawa ni mhamiaji haramu!

Ana roho iliyojaa ukatili, ubaguzi wa vyama, ukabila na ukanda, ubinafsi, ubabe, umungu mtu, ukaidi, nk. Sifa ambazo zinafanana kabisa na zile za wazee wenzake wa nchi jirani na pia Wananchi wao. Wakati mwingine tujifunze ili makosa ya aina hii yasijirudie.
 
Kanda ya ziwa watu poa hawana ukabila ukiondoa magu, usiwaletee watu ukabila.

Hawajui mambo hayo.
 
Nikuulize economic benefit ya hoteli ya kitalii kama hii hapa iliyoko Chato ni nini?

Bado haujajibu swali langu je mwananchi wa chato ujenzi wa uwanja wa ndege chato ndio kipaumbele chake? Utamsaidia nini mwananchi wa chato?
 
We ndo mshamba kweli yani umedanganywa na ile video ya editing ata mjinga amejua ile ni edit
Kwa ambaye ameona ile video lisu alikuwa amevaa kanzu

Nimeona pia video ya buselele lisu anapita wale vijana wameandaliwa na CCM kushika mabango yaliyochongwa na ccm
 
Na labda kukuibia Siri ili ukasirike zaidi Lissu atafungia kampeni Kanda ya Ziwa kwa siku 3 za mwisho
Kweli Lissu amekuwa akiwatukana Washamba leo anaenda kukagua Uwanja huyu mtu hana aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…