SERENGETI haukujengwa wa Lami sababu sheria za kimataifa haziruhusu kujenga uwanja wa ndege wa lami ndani ya mbugaSerengeti mbuga kubwa yenye maajabu haina uwanja wa kimataifa licha ya kupokea watalii duniani kote. Serengeti ina ka-airstrip kavumbi iweje chattle pawe na uwanja wa kimataifa wakati hakuna watalii kabisa? Huu ni ufisadi mkubwa!
Siyo ya Mahela na Kaijage, all are hopeless!Hilo ndo swali kuu.Bila kupata majibu ya swali hilo yote yanayofanyika sasa ni kazi bure but let's hope Tume itamtangaza yeyote atakayeshinda.
Ana dharau sana kwa wasukuma huyoKweli Lissu amekuwa akiwatukana Washamba leo anaenda kukagua Uwanja huyu mtu hana aibu
Unajidanganya, Mimi mwenyewe msukuma wa Geita lakini kura atapata za kishindo.Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Nani kakuambia Magufuli ni msukuma au kwa kuwa anaongea Broken Kisukuma ndio unafikiri ni msukuma. Unajua kwa nini hata kabila lake hataki lijulikane.Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Tutapiga kura tuone wanaziibaje na tutajua cha kufanya muda ukifika.Siyo ya Mahela na Kaijage, all are hopeless!
Hakuna msukuma wa aina hiyo,yule anajijua na kabila lakeNani kakuambia Magufuli ni msukuma au kwa kuwa anaongea Broken Kisukuma ndio unafikiri ni msukuma. Unajua kwa nini hata kabila lake hataki lijulikane...!!!
Kuna vipaumbele vya nchi na vya mtu binafsi sio vyote lazima viwe vipaumbele vya Chato vingine ni vya kitaifaBado haujajibu swali langu je mwananchi wa chato ujenzi wa uwanja wa ndege chato ndio kipaumbele chake? Utamsaidia nini mwananchi wa chato?
Kwani nyumba basi pagale limeezuliwa na upepoSijaelewa KAMANDA!! anachomewa nyumba? KAMANDA huwa ni mtu hatari si rahisi hivyo
Lakini kama kawaida yenu Chadema kutengeneza matukio kutafuta kick za kisiasa kila mkiona haziendi mnatumia mioto utasikia ohh ofisi ya Chadema YACHOMWA moto ohh moto moto !!!
Hizo picha zenyewe za moto na kubomelewa mmmmm zinatia shaka
Kipaumbele gani cha nchi kilielekeza Chato ujengwe uwanja wa ndege? uwe ni mpango wa maendeleo wa miaka 5 au ilani ya CCM 2015-2020?kuna vipaumbele vya nchi na vya mtu binafsi sio vyote lazima viwe vipaumbele vya chato vingine ni vya kitaifa
mfano serengeti kuna uwanja wa ndege lakini si kipau mbele cha wana serengeti ni cha kitaifa
Mfano kipaumbele cha wana Chato ni Lisu? au Chadema?
Wasukuma hawawagi wakatili kihivyo.Hakuna msukuma wa aina hiyo,yule anajijua na kabila lake
Umejengwa na hela za LissuKichekesho maana uwanja umejengwa na hela Zako?
Na labda kukuibia Siri ili ukasirike zaidi Lissu atafungia kampeni Kanda ya Ziwa kwa siku 3 za mwisho
Leo unakuja na approach ya kuzungumzia Serengeti ningejua unatoka Kanda gani na mtazamo wako ningeishia kusema tu Uwanja wa Serengeti umepitia Changamoto nyingi Sana zikiwemo mitizamo ya Monopolism basis kwa maana pale Arusha na Kilimanjaro kuwa watalii wa Nchi hii lazima lango kuu lao la kuingia na kutoka ni Mikoa hiyo Miwili.Serengeti mbuga kubwa yenye maajabu haina uwanja wa kimataifa licha ya kupokea watalii duniani kote. Serengeti ina ka-airstrip kavumbi iweje chattle pawe na uwanja wa kimataifa wakati hakuna watalii kabisa? Huu ni ufisadi mkubwa!
Unaweza ukauthibitisha ukabila wa Magu? Pia nimetamka ukabila hapo!Kanda ya ziwa watu poa hawana ukabila ukiondoa magu, usiwaletee watu ukabila. Hawajui mambo hayo.
Sasa mbona kuna. Uzi.humu.Husna.kachomwa moto usiku wa leoNahisi watamzuia kutembelea huo uwanja.Na kwakuwa huko ni nyumbani kwa mgombea yule,nina wasiwasi pia anaweza fanyiwa hujuma katika kampeni zake huko lengo kuhakikisha hapati watu au ashindwe kuhutubia.
Ni imani yangu Lissu haendi kufurahia uwanja,bali anaenda kufanya tathimini physically ya huo uwanja kwa kuingilia kilichojengwa (kupata picha ya kilichojengwa) na ulazima wake pamoja na umuhimu wa kujenga uwanja katika eneo hilo.
Ushauri:Tundu Lissu vaa helmet muda wote ukiwa huko Chato na kuwaambia wananchi kila mtu awe mlinzi kwa kumtupia macho alie jirani yake katika mikutano na misafari atayofanya huko Chato.
Lolote linaweza kutokea leo hii, hivyo ni bora kuchukua tahadhari zote zinazowezekana kuchukuliwa.