Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Yaani utafikiri kwenda Chato ni kushinda bahati nasibu,

Mambo ya Chadema kama watoto wa sekondari vile.
 

Watu wa chato Wana akili

Ule uwanja haustahili kuwa chato kabisa
Na sababu ziko wazi kabisa kwa mtu yoyote anayejielewa ile Ni mistake kubwa Sana imefanyika kuweka uwanja pale hata wahusika wenyewe wanajuta lakini maji wameshayamwaga hamna jinsi hawawezi kuepuka hizo lawama
 
Lissu shikilia hapohapo... Mpaka upara uote nywele...
 
Atajuaje yote hayo? Kupinga kila kitu ndo sera yake aliyosimamia.
 
Yaani hao wasukuma wenyewe hawajui maendeleo yao zaidi yako wewe Mlokole wa Gwajima , unayejifanya msemaji wao?

CCM ni janga la Taifa
 
Hapo umedhihirisha ulivyo na uwezo finyu wa kufikiri pamoja na kuwa na miaka mingi duniani.
Kesho utasema wapinzani wasitumie barabara za juu za Ubungo kwa sasa wanakosoa maendeleo ya vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe bure.Halafu,unadhani ana akili finyu?.Naamini anazo tena nyingi tu,shida ipo kwenye namna alivyochagua kuzitumia 'akili' hizo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 

Kimataifa gani ?? au Ki Lumumba ?? Wacha kujamba mpaka unakirihisha ukumbi
 
Leo chato imefurika maafisa vificho kila mahali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…