Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Kichekesho ni kuijenga, siyo kuutembelea. Unapoangalia komedi kichekesho ni yule anayekuchekeshe, siyo wewe unayeangalia ukacheka!
Ni vizuri akajionee mambo mazuri. Ila hata wewe unatambua ni kichekesho. Atembelee na miradi mingine sio anabwabwaja tu
 
Mwanza jiji la pili lilistahili uwanja bora kabisa sio uliopo sasa lakini Magu anajenga kijijini kwao anaacha kujenga jijini Mwanza. Kanda ya ziwa ni ngome kubwa zaidi ya CHADEMA angalio yanayotokea Nyerere Road muda huu hapa chini. Dhana ya ukabila ni propaganda za wanasiasa flani kuiua CDM lakini propaganda hizi hazina mashiko.
 

Attachments

  • IMG_5695.MP4
    13.3 MB
Mimi binafsi naamini Katika vitu ambavyo wanaogopa kuvifanya tena wanaogopa sana ni kumgusa Tundu. Repercussion yake ni kubwa sana.
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Acha swaga za kikabila ,stick on the point, mm mwenyewe msukuma siwez kumpa kura yangu. Kwan ugumu was maisha unagusa kila kabila.
 
Ni haki yake ..... hata wewe huzuiwi kwenda CIA kuangalia kazi ya Mayanga na Mme mwenzake!!
Nimezungumzia ukaguzi...sijui umejibu nini .
Halafu inashangaza kumbe alikuwa anaponda kitu ambacho hata hajakiona kwa macho..mambo ya kishamba sana kuwahi kutokea.
 
[QUOTE="Dilekkutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
[/QUOTE]
Tena aende na tape measure aje atueleze na vipimo vyake. Urefu kilometa ngapi, upana kilometa ngapi, na pavement thickness mm ngapi, na material specifications, yote hayo tunaenda nayo ICC, hehehe aaahahaha,. Uuuwiiiii!!!!
 
uwanja wa ndege wa chato unalindwa na kufichwa kama uke vile wa mke wa mfalme. angalau ziara ya lissu itapelekea sisi walipa kodi tuone picha za huo uwanja.

Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Kila la heri Rais mtarajiwa Tundu Lissu...asije akasahau pia mikoa ya Tanga, Morogoro, Lindi na Mtwara
Arusha pia alipita nusu nusu japokuwa atapita huku ila aje apewe heshima ya ujasiri wake
 
Acha kudangaya watu mm mwenyewe nilikuwepo hapo katoro, sio kwamba lissu alizomewa, ila vijana wasio pungua kumi walio andaliwa na mgombea udiwan(CCM) kata ya Buselesele ,walita kuharibu mkutano wa lissu, na badala yake waliiabulia vichapo, vilivyopelekea jeshi LA polisi kuingilia kati.mpka Leo hii CCM hana chake katoro na buselesele.
 
Nimezungumzia ukaguzi...sijui umejibu nini .
Halafu inashangaza kumbe alikuwa anaponda kitu ambacho hata hajakiona kwa macho..mambo ya kishamba sana kuwahi kutokea.
Inategemea unadefine vipi Ukaguzi.

Kuponda kitu siyo lazima ukione. Unaweza kumponda hata concept ya mtu .... Idea ya kujenga uwanja pale Chato ndiyo inayopondwa kabla ya ujenzi na baada ya ujenzi!! Utaelewa siku wana Chato watakapoaanza kuanika mpunga wao hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…