The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Anaenda kukagua kama unalingana na pesa iliyotumika ............ Inawezekana Mayanga alifanya mavitu yake!!Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaenda kukagua kama unalingana na pesa iliyotumika ............ Inawezekana Mayanga alifanya mavitu yake!!Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Ni vizuri akajionee mambo mazuri. Ila hata wewe unatambua ni kichekesho. Atembelee na miradi mingine sio anabwabwaja tuKichekesho ni kuijenga, siyo kuutembelea. Unapoangalia komedi kichekesho ni yule anayekuchekeshe, siyo wewe unayeangalia ukacheka!
Ina maana hujui maana ya "mradi mkubwa"?[emoji849][emoji849]..kumbe mnatambua ni mradi mkubwa wenye manufaa. Ona sasa ambavyo hamjielewi
Tangu lini amekuwa mkaguzi?Anaenda kukagua kama unalingana na pesa iliyotumika ............ Inawezekana Mayanga alifanya mavitu yake!!
Mwanza jiji la pili lilistahili uwanja bora kabisa sio uliopo sasa lakini Magu anajenga kijijini kwao anaacha kujenga jijini Mwanza. Kanda ya ziwa ni ngome kubwa zaidi ya CHADEMA angalio yanayotokea Nyerere Road muda huu hapa chini. Dhana ya ukabila ni propaganda za wanasiasa flani kuiua CDM lakini propaganda hizi hazina mashiko.Leo unakuja na approach ya kuzungumzia Serengeti ningejua unatoka Kanda gani na mtazamo wako ningeishia kusema tu Uwanja wa Serengeti umepitia Changamoto nyingi Sana zikiwemo mitizamo ya Monopolism basis kwa maana pale Arusha na Kilimanjaro kuwa watalii wa Nchi hii lazima lango kuu lao la kuingia na kutoka ni Mikoa hiyo Miwili.
Siasa za kushambulia Uwanja wa Chato kwa sisi ambao tuko muda mrefu kwenye soko la Utalii tunajua kwani hata Uwanja wa Mwanza kwa Sera za CHADEMA hautakiwi kuwepo watakwambia umezungukwa na Milima ni hatari kwenye usafiri wa anga yapo mengi tu nafiri niwambie tu Jumatano nitakuwa Live Star Tv kuelezea haya mambo kwann Chama cha Mbowe kinapinga maeneo Mengine kuendelezwa na hasa maeneo ya Kanda ya Ziwa na maeneo Mengine, usikose kuwa nami ktk kukufumbua macho Mtanzania mwenzangu kwa haya yanayoendelea ndani ya Chadema.
Kama ni mradi mdogo makelele ya niniIna maana hujui maana ya "mradi mkubwa"?
Mimi binafsi naamini Katika vitu ambavyo wanaogopa kuvifanya tena wanaogopa sana ni kumgusa Tundu. Repercussion yake ni kubwa sana.Nahisi watamzuia kutembelea huo uwanja.Na kwakuwa huko ni nyumbani kwa mgombea yule,nina wasiwasi pia anaweza fanyiwa hujuma katika kampeni zake huko lengo kuhakikisha hapati watu au ashindwe kuhutubia.
Ni imani yangu Lissu haendi kufurahia uwanja,bali anaenda kufanya tathimini physically ya huo uwanja kwa kuingilia kilichojengwa (kupata picha ya kilichojengwa) na ulazima wake pamoja na umuhimu wa kujenga uwanja katika eneo hilo.
Ushauri:Tundu Lissu vaa helmet muda wote ukiwa huko Chato na kuwaambia wananchi kila mtu awe mlinzi kwa kumtupia macho alie jirani yake katika mikutano na misafari atayofanya huko Chato.
Lolote linaweza kutokea leo hii, hivyo ni bora kuchukua tahadhari zote zinazowezekana kuchukuliwa.
Unamzuia kwani uwanja kajenga babako kwa hela zake?Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Ni haki yake ..... hata wewe huzuiwi kwenda CIA kuangalia kazi ya Mayanga na Mme mwenzake!!Tangu lini amekuwa mkaguzi?
Unajua kweli kusoma wewe?Unamzuia kwani uwanja kajenga babako kwa hela zake?
Acha swaga za kikabila ,stick on the point, mm mwenyewe msukuma siwez kumpa kura yangu. Kwan ugumu was maisha unagusa kila kabila.Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Nimezungumzia ukaguzi...sijui umejibu nini .Ni haki yake ..... hata wewe huzuiwi kwenda CIA kuangalia kazi ya Mayanga na Mme mwenzake!!
Mimi nina akiri kuliko huyo jamaa nieleweshe faida ya uwanja wa chato ni upi kwenye taifa letu mkuu??Hata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,
Nyie subilini uhuruwa kusafishwa migongo.
We ni mjita bwana hatunaga msukuma kama weewe hatukutambuiAcha swaga za kikabila ,stick on the point, mm mwenyewe msukuma siwez kumpa kura yangu. Kwan ugumu was maisha unagusa kila kabila.
Arusha pia alipita nusu nusu japokuwa atapita huku ila aje apewe heshima ya ujasiri wakeKila la heri Rais mtarajiwa Tundu Lissu...asije akasahau pia mikoa ya Tanga, Morogoro, Lindi na Mtwara
Acha kudangaya watu mm mwenyewe nilikuwepo hapo katoro, sio kwamba lissu alizomewa, ila vijana wasio pungua kumi walio andaliwa na mgombea udiwan(CCM) kata ya Buselesele ,walita kuharibu mkutano wa lissu, na badala yake waliiabulia vichapo, vilivyopelekea jeshi LA polisi kuingilia kati.mpka Leo hii CCM hana chake katoro na buselesele.Kuna watu sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?
Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .
Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.
Hopeless kabisa , let's stay tuned leo.
Inategemea unadefine vipi Ukaguzi.Nimezungumzia ukaguzi...sijui umejibu nini .
Halafu inashangaza kumbe alikuwa anaponda kitu ambacho hata hajakiona kwa macho..mambo ya kishamba sana kuwahi kutokea.