Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Yule ni muhutu sio msukuma,kata ya Chato ilikuwa wilaya ya Biharamulo mkoa wa kagera akaisogeza Geita,
Halafu kiukweli, hakuna msukuma wa dizaini ile, Wasukuma tunawajua, wana aibu sana na hawapendi kuonea watu.
 
Meko aliaminishwa kwamba anapendwa sana na watanzania kiasi cha kutofanya kampeni katika uchaguzi huu.

Ila anachokumbana nacho sasa kinamkatisha tamaa kabisa.

Mpinzani wake wa karibu, Tundu Lissu ametrend karibia kipindi chote cha kampeni za uchaguzi.

Ni dhahiri ya kwamba Meko hawezi kushinda uchaguzi huu kama utakuwa huru na wa haki.
Hakuna mtu mwenye support ya 100% aijawahi tokea ata nyumbani kwao.

Pili lazima tuelewa binadamu ‘needs and wants’ zetu azilingani kwa ivyo sio Magufuli wala kiongozi yeyote dunia anaweza mfurahisha kila mtu ndani ya jamii. Magufuli yeye anacholenga ni chenye manufaa ya wengi na kuweka mazingira ya kuchochea uchumi...
 
"Umekaa miaka 5 hujaajiri kabisa. Vyuo vinaendelea kutoa wahitimu na hujawapa ajira kwa miaka mitano. Leo unawahadaa vijana kuwa utawapa ajira ukipewa nafasi tena. Ulikuwa wapi, miaka yote hiyo mitano? hujatoa hata ajira kabisa...

Umeuwa sekta binafsi zote. Makampunu karibu yote yamekufa. TRA wananyanyasa wajiasiriamali na makampuni afu unashangaa kwa nini kuna tatizo la ajira... Kweli ni sawa sawa hili" Lisu alipokuwa Runzewe jana...

NB: I agree with Him 100%.... Umepewa miaka 5 hujatoa ajira, Private Sector imekufa na ndio mwajiri mkuu, where where You?...
 
Hakuna mtu mwenye support ya 100% aijawahi tokea ata nyumbani kwao...
Kuna mtu nchi hii mwenye kejeli kumzidi jiwe?

I support Lissu 100%

Lissu ni sauti yetu wananchi tuliowengi ukihacha wale chawa wachache
 
Tume haitamtangaza Lissu kamwe. Tusipofanya maamuzi magumu ya kukataa rais wa Tume basi tujue CCM itatawala milele. It’s now or never. Katiba lazima ibadilishwe
Siyo kumtangaza tu hata shinda na mkileta vurugu tutawafunua marinda .
 
Kampeni meneja wa Lisu huyo mrefu mwenye miwani Golugwa alienda na akina Godbless Lema kumzika mbwa wa mbunge wa Chadema Nassari wakiwa na viongozi wa Juu wa CHADEMA lakini hawakwenda kuzika mamia ya wakerewe waliokufa kwa ajali ya meli ya MV Nyerere .Kwao mbwa alikuwa wa muhimu kuzika kuliko wakerewe

Halafu wanategemea kwenda huko Ukerewe kuomba kuomba kura

View attachment 1598418
Yaani hawataki Rais aende! Acha utani wewe kiumbe!
 
Mara ya tatu hii anazurura kanda ya ziwa! Mwambieni imekula kwake haoni kitu hapo!!! Akamuulize mzee lowasa!
Lowassa mliyemuibia kura kwa bao la mkono? Kama hapati kitu na anapoteza muda wake na wewe humpendi kwa nini usifurahie?

Au unatafuta wa kusutana nae maana unairudia na kusisitiza? Waambie hana madhara polisi wasipoteze mabomu yao bure.

Vijana wa CCM waache kushambulia kwa mawe msafara na mali za mgombea asiyekuwa na madhara.

Na wewe tulia tuliza munkari kwa asiye na madhara
 
Tunajua mmeandaa vikosi Haramu vya kupiga watu na kurushia mawe msafara wa mgombea.Kwanini muandae vikundi Haramu? Mbona siasa imewashinda? Si mtoe Hoja kutetea huo Uwanja wenu na faida anayopata mwanaChato?
Mashetani yamepigwa spana za kutosha mpaka wameanza kurusha mawe
 
Maendeleo hayana chama kila siku mnaambiwa
Nimechoka kuwabembeleza wana Tunduma, nileteeni Silinde niwaletee maji. Msiponiletea siwaletei maji.

Kama msingemchagua Kapuya nisingejenga barabara hii

Maendeleo hayana chama, kuna mwendawazimu hapa aliyetoa kauli au anayetetea kauli
 
Back
Top Bottom