China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

China kama haitaki kupigana kwa ajili ya Taiwan yake unaanzaje kuamini iko tiyari kupigana kwa ajili ya Putin.
Vita ni mipango ya muda mfupi na muda mrefu, sikweli kuwa China haitaki kupigana kwa ajili ya Taiwan.
 
🤣🤣🤣Elimu yako please
 
JF imevamiwa na vitoto vingi, vinachukuwa stories za vijiweni na kuja kulopoka huku
 
Unaweza kukuta iyo bei juu wanayouziwa ulaya russia ana kijiperceeeee chake
 
China hajawahi kumkubali mrusi. China wana akili zao nyingi sana. Walishawasoma warusi kama hamnazo. Toka enzi za vita baridi. Wanaenda nao kimtindomtindo
 
JF imevamiwa na vitoto vingi, vinachukuwa stories za vijiweni na kuja kulopoka huku
Pole sana. Inaonekana ulikimbia shule hata kuandika hujui.
Jifunze kuandika vizuri halafu uje ujibizane na mimi.
JF imevamiwa na wazee wapumbavu wanaojiona wanajua kila kitu.
 
China lazima iingie kati vinginevyo nchi za NATO zikiishinda Russia(ingawa haiwezekani)ndoto za China kukitwaa kisiwa cha Tawain zitakuwa zimefika mwisho.
 
China hajawahi kumkubali mrusi. China wana akili zao nyingi sana. Walishawasoma warusi kama hamnazo. Toka enzi za vita baridi. Wanaenda nao kimtindomtindo
Sio kweli kuwa China hawajawahi kumkubali Russia licha ya kuwa wana migogoro ya hapa na pale.
 
China lazima iingie kati vinginevyo nchi za NATO zikiishinda Russia(ingawa haziwezekani)ndoto za China kukitwaa kisiwa cha Tawain zitakuwa zimefika mwisho.
Anhaa sawa, wacha tuone yatayo jiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…