China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Ukraine inapewa msaada kwa sababu sio super power.
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
 
Kuna taarifa kuwa trh 24 mwezi huu wa 2 Dunia inaenda kushuhudia maajabu ya vita kati ya Ukraine na Russia. It means vita rasmi inaanza trh hiyo, kwa sasa ni trela tu. Let's wait.
Na Putin alisha sema hajaomba msaada wowote csto au Brics na alliance zake zingine kwasababu anawamudu super power wa kwenye makaratasi USA na EU na wengine wote. Sasa akiomba alliance si imekula kwao lmf
 
Urusi ilikuwa inasema ni super power, unailinganishaje Ukraine katika kupewa misaada?!
Ni Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.
 
Wengi tumefatilia hii vita sababu ya mitandao ga kijamii, kwa sasa hakuna siri, mtu akipigwa sote twajua, maana sasa kabla hujapigwa bomu drone iko angani inarekodi.

Hii vita imeonesha artillery zina umuhimu mkubwa sana
 
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Tofauti ambayo pengine huijui ama umeisahau ni kuwa, Urusi ni mvamizi na Ukraine ni mhanga wa uvamizi wa Urusi.

Washirika wakubwa wa Urusi wamekosa ujasiri wa kuiunga mkono Urusi waziwazi kutokana na fact hiyo moja ukiacha sababu nyingine za kimaslahi. Kuiunga mkono Urusi kwenye hii vita moja kwa moja ni kuunga mkono uvamizi kwa nchi nyingine yeyote ile duniani zikiwemo nchi za hao washirika wenyewe.
 
Ungekuwa na akili ungejiuliza kwanza kwanini Russia ameivamia Ukraine? Je, Russia alikuwa na sababu zozote za msingi za kuivamia Ukraine? Na je alilalamika kutaka mazungumzo kabla ya kumvamia?

Na inabidi ujiulize maswali hayo ukiwa neutral minded

Kwa mimi kumvamia mtu sio tatizo kama zipo sababu za msingi za kumvamia
 
Ukraine na Nato watashinda? Warudishe kwanza ardhi ya donbase...
 
Ukraine na Nato watashinda? Warudishe kwanza ardhi ya donbase...
Ni suala la muda tu! Je umeifuatilia leo hotuba ya putin?ki ukweli anatia huruma yaani hakutegemea hichi kilichotokea,na huko mbeleni muda c mrefu utamsikia CHINA,anataka awempatanishi ili vita iishe!!na ndicho kilichompeleka FM,wa china huko urusi juzi!!je NATO watakubali?!!
 
Hakuna sababu zozote za msingi zilizotolewa na Urusi kwa dunia kuhusu huo uvamizi wake so far.

Vilevile, Urusi mpaka sasa imeshindwa kutoa uthibitisho wa madai yake ya siku zote kuhusu Ukraine katika jumuiya na vyombo vya maamuzi vya kimataifa.
 
Lakini kuna report ilichapishwa na China kuilaumu Russia kuanzisha vita haraka kinyume na ilivyokuwa imeahidi. China walitarajia Urusi angeanza vita baada ya Beijing Olympics
 
Bila USA hakuna NATO sasa, hiyo NATO ni kwa ajili ya Ulaya kujilinda isivamiwe na Urusi.
Hakuna "super power" ya kujitegemea. USA ni "super power" kwa sababu ya NATO, bila NATO, USA sio mali kitu. Inachotumia USA ni vita ya vikwazo kugandamiza nchi nyingine. BRICS ikifanikiwa USA itakoma.
 
Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Kumbe Russia sio superpower kama tunavyoaminishana humu.
 
Ni Sawa tu,
Bado KK nayo itaipa Urusi silaha,Iran tayari.
Hii maana yake Kila mtu na maswahiba wake.
N ndivyo hata NATO wakiingiza majeshi kamili nao wachina watatia timu uwanjani,bila kumsahau kiduku na marafiki wengine.
Kumbe Russia sio supapawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…