China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Wamekuwa wakifanya hivi mara nyingi
 
Russia ilimeguka.

Sudan pia.

Hakuna ajabu Taiwan ikiamua kuwa hivyo ilivyo.
Kwa hiyo kwa sababu huko nyuma ilifanyika hivyo kwa uzembe wao unataka naye China aone sawa tu
 
Hiyo ni mikwara tuu hakuna siku China itarusha hata kombora moja kuelekea Taiwan
Mwaka 2000 nilikuwa Taiwan.. Mikwara ilikuwa heavy mpaka ikabidi wageni tuondoke usiku kuelekea Japan
Kufika kule kuna Mjapan akasema matajiri wa china asilimia 90 ni wataiwan na ndio walio ibust China kiuchumi hivyo hawatakaa waiguse hiyo nchi.. Nyie kesho rudini Taipei kwa amani maana hakuna vita
Ni miaka 24 imepita China hajawahi kuigusa Taiwan ila kwa mikwara tu hawajambo
 
Comment yako tunaihifadhi
 
Nilijua karne ya 21 itakuwa karne ya watu wastaarabu bila mavita vita kumbe ni tofauti. Basi kumbe madikteta kama Hitler wanaweza kuibuka nao katika karne hii hii!
 
haikopeshi
Mnanishangazaga Ukraine Bila NATO asingepigana hata wiki 1,ogopa san mrusi Bado anateka tu vijiji karbia DONOBUS yote imechukuliwa..Hakuna mbwa yeyote WA magharibi atapigana na Russia alone


Na baada ya hii Vita duni itaheshikiana,tumetoka kwenye unpolar ( USA) na bipolar ( USA +Eu) Sasa tunaenda multpolar Russia,china na India....Dunia mpya inakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…