Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni dini gani..?Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika
Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason
Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo
Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa
Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi
Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?
Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam
Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ
So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,
Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote
Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Tuhuma za ukabila zipo mkuu kama ambavyo zipo tuhuma za udini nchini, na kama kweli ukabila upo japo kidogo basi usiseme kuwa ni ngumu kutekelezeka kama sasa kuna tuhuma za kupeana vyeo kikabala basi hatuwezi jua huko mbeleni hali itakuaje.Nimekupata. Ukabila Tanzania ni ngumu sana kuutekeleza kwa vile makabila ni mengi sana. Udini ni rahisi kuleta madhara kwa vile una makundi makuu mawili yaani ukristo na uislamu. Ni rahisi mkristo mchaga kuwa na ukaribu na mkristo msukuma kuliko mkristo mchaga kuwa na ukaribu na mwislamu mchaga. Dini hizi zinapingana na kubaguana kwenye mafundisho yake lakini tamaduni za makabila hazipingani wala kubaguana.
Ni rahisi mtu kuoa mtu wa kabila tofauti lakini sio rahisi mtu kuoa mtu wa dini tofauti.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mikoa ya pwani ni wavivu sana...wachache sana wanajua thamani ya kufanya kazi kwa bidii...tuna beki tatu hapa analala kama katoto kadogo...huko alikotoka huwa wanalala tu wakishakunywa chai asubuhi...Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika
Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason
Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo
Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa
Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi
Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?
Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam
Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ
So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,
Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote
Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Kwanini wagaliataya siku zote wanakiogopa kipengele cha DIni kwenye Sensa?
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika
Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason
Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo
Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa
Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi
Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?
Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam
Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ
So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,
Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote
Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Ila watu huwa wanabadili dini kila uchao!Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika
Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason
Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo
Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa
Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi
Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?
Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam
Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ
So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,
Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote
Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Ndio kaana Mvaa hijabu kajua kabisa watakuwa wachache akaona aseme mapema kuwa kipengele hicho kisiwepo.Ila watu huwa wanabadili dini kila uchao!
Kichekesho ni kwamba zikiwekwa takwimu za dini, watu tutapigania twakwimu za madhehebu, baadae takwimu za makabila!
Ila anyway, waweke tu hizo takwimu, sisi WAKRISTO tutaibuka na ushindi kwa kuwagaragaza waislamu kwa takwimu kubwa!!
Ndio!!, kwani takwimu za dini Zina faida gani zaidi ya kujua Nani wengi, na Nani wachache?
Hakuna bajeti itatengwa kwa ajili ya uislamu au ukristo Kama inavyotengwa bajeti kusaidia wazee, walemavu, au wanawake!
Au mtoa mada unatafuta ajenda ya kuwafanya watu wa dini Fulani wawekwe kwenye kundi moja na walemavu ili wapate msaada?
Waarabu walicho nacho ni fedha tu inayo tokana na mafuta asilia.Basi waafrika tungewazidi waarabu kwa maendeleo.
Wewe ni mmasai.Kipengele cha dini hakina tija yoyote. Kuna wengine hatuna dini ne itakuwaje?
Pia kipengele cha kabila nacho hakina tija. Mimi baba yangu ni Mmasai na mama ni Mchaga ila nimezaliwa na kukulia uchagani mpaka nimekuwa mtu mzima na hata kwa baba yangu huko Nainokanoka sijawahi kufika.
Najua mila na tamaduni za kichaga na lugha ya kichaga naijua pia ila kimasai sikijui.
Je mimi ni Mmasai au ni Machagga?
Hakuna haja ya kujua dini ya mtu...
Hasa katika mambo ya kiserikali!
kwani tulishakubaliana serikali yetu aina dini