Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

KILA SIKU WATU WANAHAMA NA KUBADILISHA DINI NA MADHEHEBU.

UTAWAFANYIA SENSA MARA NGAPI?

ILI IWEJE?
 
wewe ni dini gani..?
 
Tuhuma za ukabila zipo mkuu kama ambavyo zipo tuhuma za udini nchini, na kama kweli ukabila upo japo kidogo basi usiseme kuwa ni ngumu kutekelezeka kama sasa kuna tuhuma za kupeana vyeo kikabala basi hatuwezi jua huko mbeleni hali itakuaje.
 
Mikoa ya pwani ni wavivu sana...wachache sana wanajua thamani ya kufanya kazi kwa bidii...tuna beki tatu hapa analala kama katoto kadogo...huko alikotoka huwa wanalala tu wakishakunywa chai asubuhi...
 


Kwani hizi takwimu za religions, wikipedia wamezipata wap?
 
Ila watu huwa wanabadili dini kila uchao!
Kichekesho ni kwamba zikiwekwa takwimu za dini, watu tutapigania twakwimu za madhehebu, baadae takwimu za makabila!

Ila anyway, waweke tu hizo takwimu, sisi WAKRISTO tutaibuka na ushindi kwa kuwagaragaza waislamu kwa takwimu kubwa!!
Ndio!!, kwani takwimu za dini Zina faida gani zaidi ya kujua Nani wengi, na Nani wachache?
Hakuna bajeti itatengwa kwa ajili ya uislamu au ukristo Kama inavyotengwa bajeti kusaidia wazee, walemavu, au wanawake!
Au mtoa mada unatafuta ajenda ya kuwafanya watu wa dini Fulani wawekwe kwenye kundi moja na walemavu ili wapate msaada?
 
Ndio kaana Mvaa hijabu kajua kabisa watakuwa wachache akaona aseme mapema kuwa kipengele hicho kisiwepo.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Watu wa kigoma wanapenda umaskini nayo ni maendeleo
 
Hakuna faida yeyote tukijuana dini au makabila, sana sana tutaanza kubaguana na wengine kujiona wana nguvu kuliko wengine kwa ajiri ya idadi yao, nasema futa kabisa kipengere cha dini na makabila
 
Mleta mada bila shaka ni muislam. Kuingiza dola ya kiiskam TZ ndo lengo lake.
Kipengele cha dini kwenye sensa kisipokuwapo sijui nchi kama nchi itaathirika vipi.
Kikiwekwa kengo litakuwa kujua watu wa dini gani ni wengi, halafu!!?!!
Misikiti inaweza kuleta takwumu zake BAKWATA mkajifariji, mkidanganyana poa tu!
 
Basi waafrika tungewazidi waarabu kwa maendeleo.
Waarabu walicho nacho ni fedha tu inayo tokana na mafuta asilia.
Hawajafanya lolote la kujiletea maendeleo.
Pia mafuta yenyewe yanapata thamani kwa sababu ya ugunduzi ( kazi ) wa wazungu.
Africa kupokea akili ya kiarabu, imetugharimu zaidi.
 
Kama kipengele cha dini ni muhimu, kwanini kipengele cha kimo kisiwekwe?
 
Tunatofautiana tafsiri ya maendeleo.
Waisilam wengi dini nayo ni maendeleo.
 
Wewe ni mmasai.

Mleta mada yuko sahihi 100%
 
Hawapendi kujulikana kama wao ni minority kwa hii nchi let them keep on deceiving them little selves
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…