Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

Waislamu hawana maendeleo sababu ya mafunzo wanayopeana misikitini na life style zao.

Pili kuendekeza ushrikiana na kutopenda kufanya kazi kwa bidii. Kila jambo wanategemea waganga wa kienyeji.

Pia katika kusoma Wazazi huwakazania watoto wao kusoma elimu ya dini kuliko elimu dunia.

Pia wanaendekeza sana ndoa za utotoni wakati mtu bado hajajipanga na maisha
 
Waarabu walicho nacho ni fedha tu inayo tokana na mafuta asilia.
Hawajafanya lolote la kujiletea maendeleo.
Pia mafuta yenyewe yanapata thamani kwa sababu ya ugunduzi ( kazi ) wa wazungu.
Africa kupokea akili ya kiarabu, imetugharimu zaidi.
Sasa na sisi mbona hatutumii tulivyokuwa navyo kujipatia utajiri au kuondoa tu huu umasikini?
 
Hao ni waislamu wa dunia nzima au wa Tanzania tu?
 
Wewe ni mmasai ila mcahga wa kuloea yani mlowezi wa kichaga,ila asili yako ni mmasai
 
Nonsense
 
Halafu wote hao wanane asili yao ni Asia na kwamba wamezipataje hizo Mali, mungu wao anajua iwapo amewaachia furusa ya udanganyifu ili watajirike then wewe ujivunie eti waislamu wenzako wanaukwasi,

Acha uvivu wewe mbongo, tutafute vyetu na sisi ngozi nyeusi
 
Msaada wa misikiti ndio kipengele cha dini kiwekwe?
 
Mawazo duni kabisa haya, kuhesabiwa kidini zetu na waromani kutawala kuna mahusiano gani hapa!

Unataka kusema kwamba, hata kabla ya serikali kuhesabu watu na dini zao, Waloma walishahesabiwa na serikali, na serikali inatumia sensa ya walomani kuwapendelea siyo?
 
Serikali ya ccm imeshaona dini ni takataka na wizi wa kuaminika
 
Waarabu walicho nacho ni fedha tu inayo tokana na mafuta asilia.
Hawajafanya lolote la kujiletea maendeleo.
Pia mafuta yenyewe yanapata thamani kwa sababu ya ugunduzi ( kazi ) wa wazungu.
Africa kupokea akili ya kiarabu, imetugharimu zaidi.

Kila cku mnawasakama waarabu alafu hapo hapo mnawapeleka dada zenu wakafanye kazi za ndani uarabuni, mnajenga nyumba na kujifungulia biashara kutokana na hela zao alafu still unawasema 😁 akili zingine bwana!!

Hivi mzungu alikosea kukuita SOKWE? hili neno angelitoa mwarabu nadhani ungewehuka wewe,

Acha chuki, fanya kazi hudumia familia yako.
 
Hivi wenzetu nchi nyingine huwa wanafanyaje?

Yani ni ajabu sana.!

Kwanini hawataki hicho kipengele?
 

Hii hoja yako ni dhaifu na ya kizembe sana. Kubaini maeneo ya nchi yenye changamoto zaidi au yaliyobaki nyuma kimaendeleo, Serikali haihitaji kujua dini za watu. Now, whether or not dini zinachangia kuendelea au kutoendelea, hilo haliihusu Serikali. Uhuru wa kuabudu ni haki ya mwananchi ya kikatiba. Serikali haina wajibu wa kuhubiri dini, hata kama dini fulani inaonekana kuchangia maendeleo zaidi kuliko dini nyingine!
 
 
View attachment 2146438
 
We kwa siku unaswali mara 5 tena kwa nyakati tofauti huo muda wa kuwa serious na kazi unaupata wapi? Mmeshindwa kuchuma duniani mmeshawekewe chenu pembeni na Mwenyeezi Mungu kufidia kukosa kwenu hapa duniani, hamuwezi kukosa bara na pwani maana mtoaji ni Mungu na pengine ndio kaugawa huo umasikini unaouzungumzia kwenu ili mkapate zaidi Mbinguni.
 
Ni marufuku kubwa ya AMANI kuzungumzia dini katika taifa lenye jambo moja tu WASWAHILI. Dini isiwe mjadala wa jambo lolote ktk taifa,itapelekea ukabila baadae,kitu ambacho sisi wa kanda ya ziwa tutawakomesha, tuzungumzie utaifa wenye lugha moja,na kila mmoja aheshimu dini ya mwenziwe,na serikali isiingilie dini ya mtu isipokua tu pale dini itakapotumika kuvunja amani au kuleta viashiria vya uvunjifu wa amani,hapo serikali iingilie kati,lakini mtoa mada hili uliloosema hapa linapaswa kua useless na hii mada ifutwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…