Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

Umasikini wa mikoa hiyo haujatokana na serikali kujisahau..!!
 
Umetokana na nini
Tamaduni za maeneo husika..!! Dini ya maeneo husika, hasa panapotokea watu wa dini moja (hasa waislam) kuwa wengi eneo moja. Kwenye hili wewe angalia hata kwenye shughuri za mazishi ya maeneo hayo, daftari la michango kukuta mtu kato 100/-, 50/- etc ni kama jambo la kawaida sana
 
Kwa hiyo kuna haja ya serikali ku face hili tatizo sio?
 
Kipengele cha dini kikiwekwa kuna watu watasema sensa imechakachuliwa.Wanafikiri wapo wengi kumbe wapo 26%.Wasiopiga kelele wapo 74%.
 
Kipengele cha dini kikiwekwa kuna watu watasema sensa imechakachuliwa.Wanafikiri wapo wengi kumbe wapo 26%.Wasiopiga kelele wapo 74%.
😂😂😂
Sasa sisi tunaotaka facts hatutakua na shida, sio wapiga kelele tu ndio wanataka hizo data
 
Egpty na Morocco kuna waislamu smart wasioshikilia dini kijinga kama nchi zingine za kiarabu.

Nawaitaga waislam wajanja
 
Hii hoja ni nzuri kabisa inatokana na mtu anayefikiri vizuri. Mimi kwa dini ni Mkristo namwelewa anachosema. Anasema kuna uhusiano unaendana na dini iliuoshamiri sehemu fulani na maendeleo. Wanatakwimu uhusiano huo huita 'correlation'. Lakini huo uhusiano hapa nchini haupo kidini tu, pia upo uhusiano wa sehemu ambazo Wamissionari walifika mapema na sehemu ambako walichelewa; kwa mfano, linganisha kiwango cha elimu Mkoa wa Shinyanga na Mkoa wa Mbeya. Mbeya au sehemu kama hizo (Kagera, Kilimanjaro, Lushoto) wananchi walitambua faida ya elimu dunia hii mapema kuliko sehemu nyingine. Kwa hiyo walianza kusomesha watoto wao na kujenga au kudai kujengewa shule nyingi mapema kuliko sehemu nyingine. Huo ndiyo ukweli.Tuwasaidie wale ambao walichelewa.

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Egpty na Morocco kuna waislamu smart wasioshikilia dini kijinga kama nchi zingine za kiarabu.

Nawaitaga waislam wajanja
Nchi zote za Kiarabu zimeendelea kuliko nchi za Afrika mkuu
 
Nchi zote za Kiarabu zimeendelea kuliko nchi za Afrika mkuu
Siyo kweli. Kuna nchi za Kiarabu kweli zimezidi kuliko baadhi ya nchi za Kiafrika na siyo nchi zote za Afrika. Inategemea nchi ya Kiarabu ina misingi na utamaduni upi. Pia nchi za Kiarabu ni zipi? Sudan, Tunisia, Morocco au ni zile nje ya Bara la Afrika. Za Mashariki ya Kati za Kiarabu ni zipi? Mwisho, maana yako ya maendeleo ni ipi?

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Sudan sio nchi ya kiarabu, maana ina weusi wengi kuliko Waarabu
Tunisia ni nchi ya Kiarabu, Tunisia utailinganisha na nchi gani ya Sub Sahara Africa kwa maendeleo ukiacha South Africa?
 
Hakuna sababu, maana serikali haipo kuondoa mila au tamaduni zisizo na athari kiafya. Kundi husika linatakiwa kupambana na hali yake
Sasa mkuu umasikini si uja athari kubwa sana kwa vitu vingi ikiwa pamoja na afya
Simaanishi wawalazinishe watu kubadili dini, ila kuna mambo ya muhimu wana paswa kufanya, mbona Uarabuni kuna dini hiyo lakini hawana umaskini kama huo?
 
Sawa uarabuni wana dini hiyo.. Lakini unasahau kwamba hawa wa huku wamepokea walicholetewa na wa huko. Na wale waletaji inaonyesha wameleta mabaya zaidi ya mazuri.
 
Sawa uarabuni wana dini hiyo.. Lakini unasahau kwamba hawa wa huku wamepokea walicholetewa na wa huko. Na wale waletaji inaonyesha wameleta mabaya zaidi ya mazuri.
Basi kama tumeletewa mafundisho tofauti na ambayo wenyewe wanafundisha huko, na mafundisho hayo yanawaletea wananchi umasikini basi kuna haja ya serikali kuingilia, ni jukumu lake kulinda wananchi
 
Elimu ni nguzo muhimu kuleta maendeleo ya jamii husika. Maeneo ambayo ukristu uliweka mizizi shule na hospitali zilijengwa. Uislamu ulijikita ujenzi wa misikiti. Bila Nyerere kutaifisha shule na hospitali, maendeleo katika maeneo yanayo kaliwa na uislamu yangekuwa nyuma sana, na mambo ya Boko haramu yangeshamiri.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kwa upande wako atheist utajibuje swali hilo? Au umeokoka siku hizi?
 
Hao matajiri wa hiyo dini wamejenga hospitali ngapi ?
Shule ngapi nk. ? Au wanawapanga ofisini kwao kuwapata jerojero kila Ijumaa !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…