Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Haya mambo yako kimkakati Sana unaweza kukuta CDF bado ni Mabeyo, na IGP bado bado ni Siro, na DGISS bado ni Diwani Athumani walitoka kimkakati kwenye Macho ya nje lkn kiutendaji bado ni wao, 2025 utashangaa nahodha msaidizi anawekwa pembeni kupisha nahodha mwenye ujuzi baada ya nahodha msaidizi kuifikisha meli ng'ambo kwa mawimbi makali kabisa
 
Wishful thinking, kwa katiba hii Rais wa Tanzania ni mungu mtu kabisa.... Ndugai alijaribu ila alipotezwa kisiasa. Just move on nyie wafuasi wa JPM na mkubali uhalisia kwamba huyo mtu wenu hawezi kurudi.

Alafu kwa confidence unaandika eti atawekwa pembeni... na nani? Fomu ushaambiwa ni moja tu so hakuna wa kumfanya chochote mkitaka kumtoa kaanzisheni chama ila kwamba hatogombea mnajidanganya.
 
relax huu mchezo hauhitaji hasira ni mchezo wa chess wenye burudani tupu, tulia hii ni ngoma ya wenye akili tu vilaza kaeni pembeni maana hili ni somo gumu kuliko physics
 
Amka before hujajikojolea
 
Mtu akikaribia kufa anaweza kuona ishara ila anajua yeye tu anaweza kushindwa kusema moja kwa moja.

Pamoja na hayo Magufuli alijitambua kuwa alikuwa na mapungufu mengi na uhusiano wake na Mungu haukuwa mzuri na alijua nini kinakwenda kutokea akifa katika hali hiyo. Hivyo alihangaika sana.
 
Ukiona mlango wa choo, amka kwenye ndoto, la sivyo utakata gogo kitandani.
 
zitto junior umepigaje hapo??? (In Misomisondo voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…