mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Jeshi sio kikundi cha kwaya ngabu.Kweli….si umemsikia hata Jenerali Mabeyo kasema kuwa Rais Magufuli alimwambia [CDF] awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini akasema hana mamlaka hayo.
Magufuli akashangaa kwa nini CDF hawezi kuwaamuru hao madaktari wamrudishe nyumbani. Jenerali akasema hilo ni suala la madaktari na siyo CDF.
Magufuli alikuwa anadhani kwa vile Mabeyo ni CDF, basi anaweza kutoa amri kwa yeyote yule na ikatekelezwa.
Kwa kuangalia tu juu juu, Mabeyo anaonekana kama ni mtu mwenye sense.
At least that’s how he came across in the interview.
Kiraia unaona jamaa alikuwa sahihi 100%kijeshi lilikuwa kosa kubwa kabisa kama alimjibu hivyo,huo ni mgomo wa wazi kabisa.labda kama alimjibu vingine kumridhisha kisha leo anatwambia hivi ni sawa.
Kama lilikuwa swala la kutumia mamlaka basi hata hao madaktari lilikuwa nje ya uamuzi wao maana mgonjwa haamui akaugulie wapi ikiwa bado hali yake hairidhishi ukizingatia ni rais wa nchi,bado hata wao wangebaki njiapanda.