NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,254
Mnafeli kwa sababu zifuatazo;Huwa sikubaliani na wewe kwa mambo yote na kwa dharau zako sitarajii kukubaliana na wewe kwa lolote. Lakini...
...tambua Tundu anautaka u Rais wa Tanzania kwa gharama yeyote ile.
...tambua Tundu anarejea na MIKAKATI mahsusi ya namna ya kuiondoa CCM madarakani kutoka kwa wazungu na usifikiri wamewekeza kwa Tundu bure bali muda wote huo wameishi naye wakimuandaa ili aje kuchukua madaraka ili wao walichoki target iwe rahisi kukipata kwalo.
...tambua Tundu hawezi kamwe kuwa na huruma na mwana CCM/mtu yeyote aliyepo CCM kwa namna walivyomfanya.
...2022 ni mwaka mbaya sana kwa CCM kwa sababu kwanza tayari wao kwa wao wamegawanyika na wanatukanana waziwazi!
Hata 2015 alimfunika Jiwe...lakini mwisho nini kilitokea?Lissu atamfunika kabisa Samia
CCM haihitaji kupigiwa kura ili ishinde...ni automatic processKwa ufupi TL apange karata zake vizuri CCM waliobaki wengi ni wezi na wahuni tuliokuwa tunamuunga mkono magu tutaamia kwa TL sababu sisi tunataka rais mkali na mwenye uthubutu na mwenye ufatiliaji wa mambo lwa ukaribu sana kama alivyokuwa marehemu.
Unanywea porini kweli kweliNjoo hp nilipo unywee zakutoshaa ukuu tukisubiri mwaka mpya,NGAO PUB GOBA KWA ROBART
CDM ni genge la kifamilia ya kichaga...hawawezi kumuachia mtu wa kabila lingine awe juu yaoMimi ni MBA holder, kama hujui uandishi wa tafsida shauri yako.
Lissu hata kama anataka uRais wa Tz, akijichanganya kumponda Mama tu, itakula kwake big time. Hizi ni principle za maisha tu ndiyo maana nimesema atalaanika.
Halafu uRais wa Tz watu wote waliouvalia njuga, hawajawahi kuupata. Angalia akina Salim Ahmed Salim (akapata Mwinyi), Kolimba na Malecela (akapata Mkapa), Sumaye na Kigoda ( akapata Kikwete), Lowassa na Membe ( akapata Magufuli)
Na sasa ni Samia. Kama CDM kuna siku watapata uongozi wa Nchi hii, Rais atakuwa siyo Lissu au Mbowe. Take it from me wewe Sikuma Gang
Mtu pekee mwenye heshima , utu , adabu na hekima. Lissu akiweza kuiga sifa chache tu za Mh Mbowe atakuwa a good leader.TL inabidi aachane na tabia ya kutumia lugha isiyofaa wakati wa uwasilishaji wa ujumbe wake pia ajiepushe kujiona mtu anayejua sana kuliko wengine wakati siyo sahihi
Pia ajifunze kuwa na busara na hekima
Samia atatuma watui kumkamata na yeye kumpa kesi ya uhaini.Tundu lissu akija atampelekea mama Moto hatari..wananchi wengi hawaipendi hii serikali kutokana na utendajiwa mama ktk tozo,suala la machinga,hali ngumu ya maisha,wizi na ufujaji kushamiri, Mambo ya ajabu ajabu yamerudi...akitoke mpinzani strong lazima mama aondoke..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mtu anawaambia ukweli mnasema ana mawazo negative,hivi kweli bado tuna safar ndefu sanaSiku zote umekuwa very NEGATIVE kwa nchi yako. sijawahi ona msg of HOPE from you
Mnafeli kwa sababu zifuatazo;
1. TL hafai kuwa Rais wa nchi...ila anafaa kuwa Waziri au Waziri mkuu
2. Wenye Chadema yao hawawezi kukubali eti mgeni wakuja asimame kama rais
Tatizo hamjiulizi kama ana watu wa kuongoza naye nchi....hivi TL akiwa rais halafu Mbowe atamuachaje?ataweza kumzuia Mbowe asiuze nchi kweli?akijaribu kumzuia nini kitatokea?Lissu Ni habari nyingne
Tunakuja ww ni msaka tonge (teuzi)PWatanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Wiki hii ya Christmas. Kunapotokea kosa lolote, mkosaji ana wajibu wa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria, hivyo kinachoendelea sasa ni kwa sheria kuachwa kufuata mkondo wake, ila sasa kuna kelele nyingi, hivyo hili ni bandiko la swali. "Watanzania tumshukuru...www.jamiiforums.com
Nahisi ni Benson Mramba. Kaja na ID mpya. Baada ya kumjua kiundani.
Tundu Lissu atakuja TZ mwaka 2025 kwenye mradi wake wa kugombea urais wa JMT. Na ujue japokuwa viongozi wa CHADEMA wanadai hawatashiriki uchaguzi bila tume huru yeye Lissu atahakikisha anagombea japo ana uhakika wa kushindwa ila kwake ni mradi unaolipanvizuri. Kuna dhana kuwa Lissu anaomba Mbowe afungwe jela ili iwe rahisi kwake kugombea kwa sababu atakuwa kaimu mwenyekiti. Kwenye uchaguzi Lissu anawadanganya mabeberu kuwa atashinda na wanampa pesa nyingi wakiamini kuwa akishinda atabadilisha zile sheria za madini zilizoboreshwa wakati wa Magufuli. Na hata pesa inayochangishwa kwenye kampeni zake hazikusanywi na CHADEMA bali ndugu zake ili ionekane michango inafadhilikampeni kuwa ni pesa za mabeberu. Na picha nyingi lazima zitumwe ku-retire imprest yapesa alozopokea. Kwa nini Lissu adanganye kuwa anakuja 2022 wakati anasubiri kipindi cha uchaguzi 2025?
Tatizo upinzani hakuna anayefaa kuwa rais..ni wahuni watupu
Yule Jamaa ana chuki za wazi wazi dhidi ya Mbowe sijui analipwaHahaaaa!!!yawezekana kabsa mkuu
Mnafeli kwa sababu zifuatazo;
1. TL hafai kuwa Rais wa nchi...ila anafaa kuwa Waziri au Waziri mkuu
2. Wenye Chadema yao hawawezi kukubali eti mgeni wakuja asimame kama rais
Tatizo hamjiulizi kama ana watu wa kuongoza naye nchi....hivi TL akiwa rais halafu Mbowe atamuachaje?ataweza kumzuia Mbowe asiuze nchi kweli?akijaribu kumzuia nini kitatokea?
TL hawezi kuchaguliwa na wenye akili timamu. Aendelee kujifurahisha...katiba inapaswa kuzuia viongozi kuuza nchi.
..kwa katiba hii ya sasa hivi hata " Mr.Clean " Ben Mkapa aliuza nchi.
..nchi yetu ina mali nyingi, wananchi wasiofuatilia, na katiba inayolinda viongozi, hayo ndio mazingira yanayowezesha viongozi kuuza nchi.
..Lissu aliahidi kwamba akichaguliwa ataanzisha mchakato kuleta KATIBA INAYOWAJIBISHA VIONGOZI.