Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

KARIBU SANA JAPO NI NYUMBANI KWAKO LAKINI UJE KWA STAHA, HESHIMA NA ADABU HATUTAKI ROPOROPO TUMESTARABIKA.
 
Kwa ufupi TL apange karata zake vizuri CCM waliobaki wengi ni wezi na wahuni tuliokuwa tunamuunga mkono magu tutaamia kwa TL sababu sisi tunataka rais mkali na mwenye uthubutu na mwenye ufatiliaji wa mambo lwa ukaribu sana kama alivyokuwa marehemu.
Hizi sifa zote TL anazo kasoro zile mbaya mbaya tu.
 
Na akome kuwaudhi marehemu mpendwa Baba JPM.
Usidharau njia za wahenga. Wanamengi ya kukujuza. Tii maneno yao
 
Jidanganye,
A devil wants blood , as longer as is blood.
 
Kosa sii la Rais tuliye naye! Ni aina ya wasaidizi wake ambao wengi ni walewale waliodidimiza demokrasia ya kweli na wanajulikana!!!. Mfano ni maridhiano ya vyama vya siasa. Huwezi kuunda kamati za maridhiano Kinafiki bila kushirikisha vyama vikuu vya siasa hapa nchini.
 
Endelea kuota!
 
Na bado utakerwa sana na posts zangu. Chagua kutosoma ndiyo utasalimika. Magufuli alikuwa shetani na lazima Dunia ijuwe
Wewe unakipimio cha shetani?
Tutajuaje kama wewe siyo shetani?
Baada ya hapo tueleze Shetani unamjuaje kama wewe siyo shetani mwenyewe?
Mwache Baba Yetu apumuzike kwa amani.
Wenye hekima tunasema , Huwezi lumbana na mwili uliolala mauti, tafuta amani . Jiombeeni maana hao wamekutangulia .
 
TL hana akili mbovu kama zako kiasi amwite Samia "Maushungi". Hilo hatafanya kamwe.
 
Kwani hao ulowataja ndiyo watanzania pekee. Kama ccm kina hazina kubwa ya viongozi mbona ilifika mahala kikawa kinarubuni watu toka chadema ndo wanaenda kuziba ombwe. Watanzania ni wengi tu ambao wanaweza fanya kazi na upinzani. Siasa siyo ugomvi.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…