Chukua hii: 2022 ujio wa Tundu Lissu utaleta Kimbunga

Hicho kimbuka atakileta nyumbani kwake na familia yake.
 
Shida kubwa ya wagonjwa wa akili hukataa maradhi yao, hudhani ni wazima na wanazo akili that's is the biggest problem omba msaada kwa watu wako wa karibu wakushauri.
Wewe unanikubali kinyama ndiyo maana unanisoma longtime. Huwezi kuwaambia watu kuwa I am your role model
 
Rais anajikwamisha mwenyewe tu...aweke timu yake kwann anang'ang'ania ile iliyopita?
 
TL atawavuruga ccm angekaa atulie asubirie 2025 aje tumpe ikulu.Ccm hawana mtu mwenye kuweza kupambana na Lisu.
 
Lisu anaweza kuwa na hoja ila ana namna mbaya sana ya kuziwasilisha.

Anawasilisha hoja kama mhuni na sio msomi.

Hilo ndio tatizo lake.

Na ndio anguko lake kwani watanzania wengi hawapendi wahuni.
 
Ww ni mwehu
 
Kwa ufupi TL apange karata zake vizuri CCM waliobaki wengi ni wezi na wahuni tuliokuwa tunamuunga mkono magu tutaamia kwa TL sababu sisi tunataka rais mkali na mwenye uthubutu na mwenye ufatiliaji wa mambo lwa ukaribu sana kama alivyokuwa marehemu.
ama kweli Siasa hazina rafiki Wala adui wa kudumu Leo hii wewe ndie wa kumpa mikakati Lissu!
Ama kweli shetani akizeeka anakua Malaika!
😁😁😁😁😁
 
Vp Diamond anapendwa hapendwi?Vp kuhusiana na uhuni wake???
Ninyi msichotaka kuusikia ukwel mchungu
Lisu anaweza kuwa na hoja ila ana namna mbaya sana ya kuziwasilisha.

Anawasilisha hoja kama mhuni na sio msomi.

Hilo ndio tatizo lake.

Na ndio anguko lake kwani watanzania wengi hawapendi wahuni.
 
Aki crossline tu, mtakua mnaenda kumsalimia ukonga,,, [emoji23][emoji23]
 
..Maza alisema katumwa na Jiwe.

..ndio maana jamaa wa Ikulu wakacheza mchezo mchafu kutoa kipande cha video Lissu akimshuru Jiwe akiwa kitandani Nairobi.

..kafuatilie vizuri ile habari.
Yeah, lisu alimwambia makamu wa rais, amfikishie salamu za upendo jpm[emoji23][emoji23]
 
Lisu ni mzuri sana, kama JPM tu,, mtetezi wa wanyonge[emoji23][emoji23]
 
Dunia ni kijiji, naweza nikawa New York,, ofisini washington,, shida nini? Kwani mtu akilala dar wikiendi, halafu jumatatu hadi ijumaa yuko job Dodoma, kuna shida gani?
Yaani dizeli lita 20 tu za kukimbia dar wikiendi ndo iwe nongwa kweli? [emoji16][emoji16]
 
Kweli kabisa Samia amuwezi Lisu.
ila msikatae Lisu akiwaita lodi kuandamana kama mlivyomkataa alipowaita kuingia lodi uchaguzi uliopita,sawa mkuu?
Siro yupo ujue.. [emoji23][emoji23]
 
Umenena mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…