Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

SASA HIKO CHUO NAO WAPUMBAVU.

YANI WALIMU WAO WENYE KUSIMAMIA HUO MFUMO WAMEDUKUA NA WANAJIITA WALIMU
 
Wamesoma na kuelewa kwa vitendo. Kudos vijana.
 
Haipo hiyo usipotoshe.
Mwanzoni mwa 2010 SAUT napo mfumo ulidukuliwa ada unayo takiwa kulipa mfa 1.3m unamlipa mdukuaji 500k ye ana ingiza taarifa kuwa umekamilisha.ila wahusika wote walifukuzwa.
Sasa SAUT ndo nchi za wenzetu?
 
afuatilie kwa mamako? acha kuandika uchafu km huu. We umewahi kufika nchi gani inayoruhusu mambo km hayo. watu wengine mbona hamuoni hata haya?
mbona unawashwa sana mzee!!? Au na wewe na wewe ndo wale wale!!?
 
nchi za wenzetu zipi hizo? mbona unaandika km unaharisha? pumbav
Mzee ndukumu ina matatizo sana naona ungeenda mcheki daktari yan bando langu na nimezungumza kitu ambacho kimetokea sweden still unanipangia!!? Unawashwa sana mkuu.
 
Nchi za wenzenu wapi?

Sasa ukiwapromote hao wezi, huoni ndio unahamasisha na wengine.
Mwisho wa siku utapata hasara.
Mpaka mtu anahack system anabadilisha matokeo wenzetu wanachukulia hii kama positive kuda dogo wa chuo sweden alikula ajira kupitia hili swala
 
TZ tunavyokuza mambo apo utakuta wamepeleka risti fek zenye mhur wa wakala wa huduma za kibenk kua wamelipa mhasbu kajaza kuja kupga hesabu ndio wamejua hawa walifoj rst lakin utasikia wamedukua.. miaka hiyo tulikua tunakula hela za hostel tunaenda kufoj rest na tukasoma had tukamaliza wajinga wakaiga kwenye ada wakafukzwa
 
Mtaani kwetu kuna wezi walivamia shambani kwa mmoja wa jenerali wa jeshi na kuiba KG 630+ za maharage lkn walipofuatiliwa njiani walikutwa wamejitwishwa kichwani maana walikua wawili hivyo hizo kg waligawa nusu,walivyokamatwa ilibidi meja awape ajira ya kudumu ktk moja ghala zake...
 
Nimemaliza chuo nilifanikiwa kulipa mwaka MMOJA TU nyingine zote ongeaa na watu vzr [emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…