Hanifer Mjanja
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 217
- 329
- Thread starter
-
- #301
Inaonekana hawa ni ma legend kwenye hili kumbe.Mbona ndio biashara yao tangu zamani, najua ya Dar lakini
Mkuu ukichoka si unahama tu unawaachia madhambi yao?Yes, hiyo.
Nimechoka kwa kweli kushiriki huu uuaji.
Kwa hiyo kama sehemu nyingi wanafanya hiyo inazuia mimi ambae nina uhakika wa Marie Stopes ya hapa Mwanza kufanya hilo kuripoti? Wewe unaweza ripoti hao wengine unaowajua wanafanya (kama ukitaka), mimi nimewaripoti hawa Marie Stopes wa hapa Mwanza kwa sababu nina uhakika asilimia 100 wanafanya hizo shughuli.Mkuu ukichoka si unahama tu unawaachia madhambi yao?
Sehemu nyingi tu wanafanya hiyo michezo na si marie stopes peke yao!
Really?Hata pale mwenge demu akienda kupima mimba anakaribishwa na kuchoropoa
Umesoma hvard univ nnNa usikute mimba haikua ya jamaa? Maana hapa pia kuna wake za watu wanaokuja kutoa mimba za michepuko.
Wasipoacha na wasipokamatwa utafanyaje? Na wewe umesema hiyo dhambi umeichokaKwa hiyo kama sehemu nyingi wanafanya hiyo inazuia mimi ambae nina uhakika wa Marie Stopes ya hapa Mwanza kufanya hilo kuripoti? Wewe unaweza ripoti hao wengine unaowajua wanafanya (kama ukitaka), mimi nimewaripoti hawa Marie Stopes wa hapa Mwanza kwa sababu nina uhakika asilimia 100 wanafanya hizo shughuli.
Huu utetezi unachekesha.
Its already taken care of.Wasipoacha na wasipokamatwa utafanyaje? Na wewe umesema hiyo dhambi umeichoka
Nimesoma CubaUmesoma hvard univ nn
Ndioo manake mpwaa yaan bora utunze wamwenzio atakujali mblen sio kumuua yaan wale wamama wanaotoa mimba wotee n
Mamaa wa marehemu......
Hahahaha! Kitanda hakizai haramu.MI NDIO MAANA SITAKKI SHIDA ZA KUPIMANA DNA WALA KONYOLAI
YAAN NANGALIA KADI INA JINAA LANGU NASEMA FAMILLALAH NA ACADEMY NAPLEKA MENGINE MWACHIE
MUNGU
OkIts already taken care of.
Wewe mpumbavu unajua abortion inaruhusiwa kiafya nenda kagoogle threatened abortion au inevitable abortion utajua abortion inaruhusiwa au laah sio unakurupuka mpumbavu sana.Unafahamu kuwa utoaji wa mimba ni kinyume cha sheria kwa nchini Tanzania? Wanatoaje huduma ambayo sheria yetu hairuhusu? Hata wao wanajua hawafanyi sawa ndio maana wanadanganya kwenye ku document.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani inauma sana ile?Eti hawasikii maumivu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji38]....acha kuongelea mambo ya kike as if ulishatest
We unaujua mziki wa kutoa mimba?
Mzoefu huyo, brek poumbou🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani inauma sana ile?
Unadhani ukitumia JF ID ambayo haijulikani ndo un akuwa salama? Ukiambiwa upeleke ushahidi wa unachokisema unao?Hahahaha! Kitanda hakizai haramu.
Kwa hiyo nimekosea kuripoti uhalifu humu?Unadhani ukitumia JF ID ambayo haijulikani ndo un akuwa salama??? Ukiambiwa upeleke ushahidi wa unachokisema unao?? Kuna ile kesi ya Max mello alipewa na jamhuri na kituo flani cha mafuta sababu ya mada za kichochezi kama hiziii sababu unatumia ID ya unknown unadhani upo salama aisee usijidanganye so long upo kwenye Mtandao wahuni wanakutrace tuu na bora wakupe kesiii sasa kuliko waamue kudili na wewe. Usipumbazwe na kitandao kijana.
Tuliza jazba kwanza, umekuja na mihemko kama kahaba aliedhulumiwa ujira wake.Wewe mpumbavu unajua abortion inaruhusiwa kiafya nenda kagoogle threatened abortion au inevitable abortion utajua abortion inaruhusiwa au laah sio unakurupuka mpumbavu sana...