Hanifer Mjanja
JF-Expert Member
- Dec 10, 2019
- 217
- 329
- Thread starter
- #301
Inaonekana hawa ni ma legend kwenye hili kumbe.Mbona ndio biashara yao tangu zamani, najua ya Dar lakini
Sasa najiuliza kwa nini mamlaka za nchi haziwachukulii hatua stahiki?