Hata marekani hakuachii vifaa kizembe, anaharibu kila kitu anasepaSilaha ya muhimu ambayo Ukraine ilikamata mpaka sasa ni sehemu ya Krasukha 4 electronic warfare system iliyokamatwa Kyiv wiki za mwanzo mwanzo. Ndio modern EW ya Russia wacha ikasomwe uko wajue countermeasures zakeView attachment 2355339
Endelea kusubiri,Malengo ya Urusi yatafikiwa Ukraine!Tuendelee kusubiri malengo yake ya kuondoa serikali ya Kyiv na kusimika ya kwake ndani ya wiki moja.
Mwanzoni mwa vita zile HIMARS zilikuwa zinapondwa sana kuwa hazina msaada wowote kwa Ukraine, tukawaambia pro russia kuwa HIMARS zimebadili uelekeo wa vita ila hawakuamini, naona kwa sasa wanaamini kwa vitendo zaidi.Russia alikua akifanya mazoezi ya pamoja na China anadhani ndio vita yenyewe yale ni mazoezi saa hizi ameanza kununua drone Iran na Korea Kaskazini ameishiwa mbinu kabisa na amejidharirisha na pia imekua funzo kwa mataifa mengine makubwa kutofanya huo utoto alioufanya Russia yeye katumia miezi saba kuchukua maeneo naona Ukraine siku tano kachukua eneo kubwa sana mpaka sasa naanza kuwaonea huruma wanajeshi wa Urusi wengine wanapata ajali wakikimbia vita..
Anakalia miji yenye viwanda, na bandari na mbolea na NUCLEAR PLANTS for goodTuendelee kusubiri malengo yake ya kuondoa serikali ya Kyiv na kusimika ya kwake ndani ya wiki moja.
Kwani aliapa kufanya nini endapo peros angeingia Taiwan?Wewe ulitaka China afanye nini ?
Na kweli hiyo ni fuel tankHako ni ka External fuel tank na tena ni empty, sasa la nini kama internal tanks zipo full
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wameshaidaka na Khibiny ew pod mkuuSilaha ya muhimu ambayo Ukraine ilikamata mpaka sasa ni sehemu ya Krasukha 4 electronic warfare system iliyokamatwa Kyiv wiki za mwanzo mwanzo. Ndio modern EW ya Russia wacha ikasomwe uko wajue countermeasures zakeView attachment 2355339
Kwahiyo hii nayo waliiacha Kyiv baada ya kipondo?Silaha ya muhimu ambayo Ukraine ilikamata mpaka sasa ni sehemu ya Krasukha 4 electronic warfare system iliyokamatwa Kyiv wiki za mwanzo mwanzo. Ndio modern EW ya Russia wacha ikasomwe uko wajue countermeasures zakeView attachment 2355339
Ha ha ha ha putin sijui kawalisha nini vijana, wamekuwa wajinga kabisa, amewaacha hawa vijana wakiwa na akili za kuvaa kobaz na kuvuka barabara tu.Na kweli hiyo ni fuel tank
View attachment 2355361
Angalia fighter jets unionesha Tank inayokaa mwisho mwa Bawa sNa kweli hiyo ni fuel tank
View attachment 2355361
1978 tunge kuwa na watu sample yako sidhani kama tungemuondoa nduli.Yafaa nini kupigana then mnakaa mnazungumza vita vinaisha kwann msizungumze kabla ya vita.Uoni huo ni ubabe usio na akili.
So ukifa familia yako nani ataitunza.
Kwann ufe wakati escape chance ipo? Bora nikawe mkimbizi
Kipi hicho ?Alipaswa afanye alichoahidi kukifanya.....
Last month ripoti ilivuja, Wizara ya ulinzi ililipa fidia kwa wafu 48,000. Hapo bado wengine hawajahesabiwaHawa wanajeshi wangeamua kumgeuka Putin wammalize na vita iishe!
Urusi imeshapoteza askari wake zaidi ya 30,000 ktk ardhi ya nchi waliyovamia~!
Hakuna ujinga kama huu, peleka watoto wako na ndugu zako wakapigane!
Hakuna alicho apa kufanya.Kwani aliapa kufanya nini endapo peros angeingia Taiwan?
External fuel tank zinakaa chini ya mbawa za ndege sio Mwisho mwa bawa.Angalia fighter jets unionesha Tank inayokaa mwisho mwa Bawa s
[emoji23][emoji23][emoji23]US wanaifurahia sana hii vita maana sasa hivi ma spy wao watakuwa wamejazana Ukrain kupeleleza siraha za PutinSilaha ya muhimu ambayo Ukraine ilikamata mpaka sasa ni sehemu ya Krasukha 4 electronic warfare system iliyokamatwa Kyiv wiki za mwanzo mwanzo. Ndio modern EW ya Russia wacha ikasomwe uko wajue countermeasures zakeView attachment 2355339
Hii ni kama ulitotuma mwazo?External fuel tank zinakaa chini ya mbawa za ndege sio Mwisho mwa bawa.View attachment 2355412
Hawana haja ya kufanya hivyo; vijana wa kazi wa makundi adhimu yote wapo eneo la tukio ikijumuisha wale wababe "SAS" wa UKHicho sasa hivi kipo kwenye ndege kinaelekea Washington