Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Kaburi lake liko huko nyumbani Ng'wamapalala. Huwa tukikusanyika huko yaani watu karibia 1000 wote tumetoka kwa mwamba mmoja tu. Kweli jamaa alijua kupelekea moto aisee na kuna wajukuu na vitukuu vyake ni kama wanajaribu kumuiga japo sidhani kama watamfikia hata robo [emoji16][emoji16][emoji16]Huyo babu alinifaaa sana mim [emoji2301][emoji2301]