Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Me tunapoteza sana kinga za mwili tunapofika kileleni, ndiyomaana life span yetu imekuwa fupi sana kuanzia rika la 45 yrs hadi 70 maana Ke huwa haendekezi sana ngono labda awe na hulka ya kimalaya au pepo mahaba.Kumbe Ndiyo maana wajane ni wengi kuliko wagane ?!
Aisee inabidi wanaume wakibongo wabadilishe mindsets zao za kuendekeza ngonolization.
Pia Ke wana proteins za kutosha sana miilini mwao kwenye maziwa, hipsi na makalio ilihali sisi Me tuna proteins kwenye makalio tu.
Ndiyomaana kiuhalisia tu hata kukaa zaidi ya siku 7 bila kula Me tunakuwa tumeshakufa lakini Ke anatusua kirahisi sana hadi siku ya 8 ndipo anakufa.