Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Ukichanganya na Serengeti ndogo nyeusi 10. Lazima ukorome kama lizee lamiaka 60+
 
Hadi sasa nishapiga chini mchepuko wangu uitwao Neema, tena nayeye wa kanda hiyo!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Cc: rikiboy
Umemuonea bure
 
Kichwa cha habari cha uzi kinaitwaje, maana na mimi yangeweza nikuta, Mungu ni Mkubwa pamoja na kwamba nina maumivu ya kupoteza muda wangu
Unaitwa "jinsi gani uliweza kumove on.... ebu anagalia kwenye nyuzi zangu sijui jinsi ya kutag
 
Muda mwingine akili ituongoze kuliko hisia.

Imagine, umemchoma moto mwenzako na kumuua, wewe utaozea jela kwa maumivu makali.

Umefaidika nini sasa? Kwenda kufia jela ndiyo faida?

Aisee!.

Nimewaandikieni ninyi mtaokaosoma hapa.
Ushauri mzuri ndugu compact
 
That's true
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…