Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Dar: Amchoma mpenzi wake na Petroli kisa wivu wa mapenzi

Kimoja si unajua kinavyolevya hasa ukiwa umeoza tilalila yani usingizi wake unakuwaga mzito unaweza ukabebwa na kulazwa barazani nje ya nyumba na usistuke!

Ukishapiz tu ule uchovu kuamka masaa 6 mbele huko! Demu akatambaa na chaki wakati jamaa kashazima!😅😅😅
Ukichanganya na Serengeti ndogo nyeusi 10. Lazima ukorome kama lizee lamiaka 60+
 
Muda mwingine akili ituongoze kuliko hisia.

Imagine, umemchoma moto mwenzako na kumuua, wewe utaozea jela kwa maumivu makali.

Umefaidika nini sasa? Kwenda kufia jela ndiyo faida?

Aisee!.

Nimewaandikieni ninyi mtaokaosoma hapa.
Ushauri mzuri ndugu compact
 
Sometimes tuzitafakari kwa makini hizi scenarios

Unakutana na binti ya watu.. Ana ndoto zake .. Mnayajenga na kuingia kwenye ulimwengu wa mahusiano mpaka ndoa
Anakusaidia kwa mengi mno unamtumia mpaka kusikofaa kutumika kiutu.

Unamharibu na kumharibia mengi.. Ila kwakuwa wewe ni wake anaridhia kiroho safi kabisa na bila kinyongo

HALAFU unakuja kumletea zinazomchoma moyo na kumuumiza hisia...! Muogope sana mwanamke aliyejeruhiwa
That's true
 
Back
Top Bottom