mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Linazidi kukosa thamani na heshima mbele ya watanzania!
Yaani mpaka watu wakiwaona polisi wanajua ni watu wa mabavu wasio na akili!
thamani ya polisi iko wakati wa shida tu.duniani kote.
ndio maana huwa hawaihangaikii.juzi lissu kawaita wajinga,siku akitiwa jiwe atauliza polisi mliniacha navamiwa.