Uchaguzi 2020 Dar: Tundu Lissu akamatwa na Polisi, aachiwa bila masharti

Kwahiyo wewe hapo hadi sasa huamini kukamatwa kwa Mbowe na wenzie pamoja na polisi kutoa maelezo ya kukamatwa kwao?
 
Kama sababu zipo na polisi wanaweza ku-justfy ni sawa tu.

Hata huko Ulaya na Marekani polisi wanaaminiwa kwelikweli kwa kazi zao.

Tuache sheria ichukue mkondo wake.

Kama hawana makosa wataachiwa.
Kuaminiwa polisi Ulaya nisawa nilidhani unazungumzia hawa wanaotembea na Ilani ya ccm
 
Inawezekana.

Lakini usidharau kabisa mfumo wa usalama wa Tanzania kwa sasa una uwezo mkubwa wa kunasa kila kitu ndani na nje ya mipaka.

Polisi wanafuata maagizo ya intelligence na mashine nzima ya ulinzi na usalama ili Tanzania iwe salama..
Huu ujinga ulijifunza wapi?
 
Unaota ndoto za kijinga kama nini sijui,maneno hua mnayasema na nini hua kinatokea?

Hamjielewagi nyie
Umeanza kuogopa naona... hiyo ndiyo USA bana. Uncle Sam!
 
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.

CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
Maana yake hawakushinda
 
Hakuna sababu zingine zaidi ya zile za kisiasa.

CCM ‘imeshinda’ kwa zaidi ya asilimia 80.

Kwa nini ina behave Kama watu walioshindwa na ambao wanatumia mabavu kubakia madarakani?
Wanajua kura chache walizopata wanajua kungekuwa na fair ground Lissu angewapa tabu sana
 
Hahahaaa kumbe muoga eeh mpaka alikimbilia kutafuta hifadhi ubalozini hahaaa
 
Si lazima utumie nguvu zote za ubongo kumuelewa au kuelewa kilichotokea. Kwanza amezungumzia kituo chake alichopigia kura mpaka kufikia mda yeye amemaliza. Sasa baada ya kuondoka mambo yanaweza kuwa yamebadilika. Au alipomaliza kupiga kura kituo kilifungwa?

Mbona Tanzania ina vilaza ivi? Inasikitisha kwa kweli
 
Hamna lolotw bavicha mapimbi tu
Leo mngeandamana ndio mngejua hamjui.
Lissu wenu pamoja na kelele zote alikimbilia ubalozi wa germany kuomba hifadhi
Oh nooooooo mnatuzarau sana Watanzania kwa uungwana wetu, tutafika mnapotaka tufike.
 
Tuwekee evidence hapa
Sasa ukiniuliza evidence anaeonekana mjinga hapa ni nani?

Mimi kama raia naamini maelezo ya polisi na natambua wanafanya kazi yao na kama mlipa kodi nawalipa mshahara kuhakikisha usalama wa raia wa Tanzania na mali zao.

Polisi wanapotoa taarifa kwenye vyombo vya habari wadhani wana lengo gani?

Sasa hata kule France yule kijana aliechinja watu alipohojiwa si alitaja watu wengine walopanga nae uhalifu.

Sasa polisi walipokwenda kukamata watu wengine watatu walotoa wapi ushahidi?
 
Richi Unavyoandika..like a true patriot au sio?
 
Haya maccm bwana,Kama yanaweza na Yana balls,siyawatwange risasi tujue moja,
Mawazo ya upinzani yakijinga sana. Kwahiyo umewa mpaka mwisho hapo.
Ngoja ashughulikiwe na police then ndio atajua kuwa ilikuwa haki yake kupeleka malalamiko tume au mahakamani na sio maandamano
 
Sasa nasema Kama mungu haishivyo, Bora wananchi wote watuweke ndani ,hii hakubaliki ,hakubaliki ,haikubaliki haikubaliki nchi yetu wote
MAMBO GANI MNAFANYA LAKINI AU NDO MWISHO WA TZ UNAKUA, HAIKUBALIKI, HAIKUBALIKI
Sas nyie Kama Wanaume kwel.. KESHO pia Ni siku

Kaandamane ili kiongoz wako Atoke.. Fala wa Chadem foolish Cockroach
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…