Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Why??Mwanza kupata mwendokasi pengine miaka 30 ijayo vingine ni matumizi mabaya ya fedha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why??Mwanza kupata mwendokasi pengine miaka 30 ijayo vingine ni matumizi mabaya ya fedha.
Barabara gani hiyo unazungumzia mkuu??Mbona hipo tu ya kutosha, km 40 kwa dk 15 au 20 ukiwa na town hiace, sasa hapo unataka mwendo kasi ipi? Km 80 kwa saa 1 unataka mwendo kasi ya namna gani?
Fuatilia vizuri sijazungumzia MwanzaBarabara gani hiyo unazungumzia mkuu??
Ambayo unasema inatoa destiny ya 40 kilometres / 15 minuits ndani ya Mwanza jiji??
Oktoba hii tunakabidhiwa miundombinu ikiwa imekamilika kabisa, baada ya hapo utasikia kutoka kwetu kuwa ni lini tutaanza huduma endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ikiwemo JF.Ruti ya Mbagala kariakoo mnaanza lin
Oktoba hii tunakabidhiwa miundombinu ikiwa imekamilika kabisa, baada ya hapo utasikia kutoka kwetu kuwa ni lini tutaanza huduma endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ikiwemo JF.
Imeishaje. Hali imerudi kawaida??Kwa hapa kivukoni sa hv kama lisaa naona kuna mgomo wa madereva
Mwanza kupata mwendokasi pengine miaka 30 ijayo vingine ni matumizi mabaya ya fedha.
Oktoba hii tunakabidhiwa miundombinu ikiwa imekamilika kabisa, baada ya hapo utasikia kutoka kwetu kuwa ni lini tutaanza huduma endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ikiwemo JF.
Kipande pale Kigogo sambusa hadi Mbuyuni hakijaisha plus pale Vera hapajanyooka basically na Oktoba ndio hiyo inayoyomaOktoba hii tunakabidhiwa miundombinu ikiwa imekamilika kabisa, baada ya hapo utasikia kutoka kwetu kuwa ni lini tutaanza huduma endelea kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ikiwemo JF.
Nyumba y'a wafu Ile Nadhani kuna roho zinadaiTupeni siri, nasikia pale kigogo round about kwenda ilala boma kina mazinga ombwe ndio mana hamkigusi,siku zinaenda sasa mtafanyaje?
Mkandarasi ameshakabidjhiwa eneo la ujenzi na sasa ameanzakuandaa materials kwa ajili ya kuanza ujenzi mara moja, jana kama umefuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ya intsgram, facebook, na X(twitter) ya @dartmwendokasi utaona hata mfadhili Benki ya Dunia alikuwa saiti kuangalia maandalizi ya kuanza kwa ujenzi.Miradi wa Maktaba to Tegeta unaanza lini na itachukuwa muda gani?
Habari njema hii, mmejipangaje kupunguza foleni wakati wa ujenzi maana hii njia inakuwaje na foleni sana hasa jioniMkandarasi ameshakabidjhiwa eneo la ujenzi na sasa ameanzakuandaa materials kwa ajili ya kuanza ujenzi mara moja, jana kama umefuatilia katika mitandao yetu ya kijamii ya intsgram, facebook, na X(twitter) ya @dartmwendokasi utaona hata mfadhili Benki ya Dunia alikuwa saiti kuangalia maandalizi ya kuanza kwa ujenzi.
njia mbadala zitaainishwa na mamlaka husika ili kupunguza msongamano, pia mkandarasi atakuwa anafanya kazi zaidi usiku pia kupunguza changamoto hiyo.Habari njema hii, mmejipangaje kupunguza foleni wakati wa ujenzi maana hii njia inakuwaje na foleni sana hasa jioni
Hii post ya The Boss ina zaidi ya miezi 3, pamoja na kwamba it cost nothing in terms of financial resources nina uhakika hakuna katazo kama hili lilikowekwa!Naomba muweke tangazo hairuhusiwi Kula au kunywa ndani ya vituo vya mabasi ya mwendokasi na ndani ya mabasi na walinzi wenu wasiruhusu mtu anaekunywa au Kula kuingia...hii itawasaidia usafi na kutupunguzia kero abiria ...hasa wanafunzi wa shule wanapanda mabasi huku wanakula maembe na ice cream na kutupakaza ...na kuchafua mabasi ...hili wala hakihitaji hela ..ni mabango na walinzi kusimamia