Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
FAnyieni service display za kuonyesha vutuo, hii ni aibu mnaua huduma nzuriAsante sana mkuu kwa kutukaribisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
FAnyieni service display za kuonyesha vutuo, hii ni aibu mnaua huduma nzuriAsante sana mkuu kwa kutukaribisha
Hivi ulikuja hapa kutuchora?Tunaahidi hatutawaangusha tutajitahidi kushirikiana na nyinyi katika kuboresha huduma zetu.
Safi sana huu kazi njemanjia mbadala zitaainishwa na mamlaka husika ili kupunguza msongamano, pia mkandarasi atakuwa anafanya kazi zaidi usiku pia kupunguza changamoto hiyo.
Uendeshaji wa hovyo kabisa kuanzia viongozi mpaka wafanyakazi wa chini kwa sababu sio kama hamuoni au kusikia kero za abiria wenu vituoni.View attachment 2625074
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia watumiaji wa huduma zetu kuwa maoni, ushauri, malalamiko, Pamoja na hoja zenu juu ya huduma zetu yatafanyiwa kazi kwa uharaka na hatua stahiki zitachukuliwa ili kuboresha huduma.
Kwa kupata msaada wa haraka kuhusu huduma zetu unaweza kutupigia simu 0800110147 ni bure. Kuanzia saa 11 alfajiri hadi saa tano na nusu usiku
Pia unaweza kutufuatilia katika tovuti ya www.dart.go.tz na mitandao yetu ya kijamii ya Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka ya FACEBOOK, INSTAGRAM, TWITTER, LINKEDIN, YOUTUBE.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka
Anuani
S.L.P 724, 16103
Ubungo Maji, Morogoro Road
Dar es Salaam, Tanzania
Barua pepe: info@dart.go.tz.
#usafiri wa umma nadhifu
#mwendokasi app
Hakuna ukweli katika jambo hilo, kwanza daladala uwezo wake ni mdogo katika kubeba abiria wengi, pili miundombinu ya vituo hairuhusu kushusha na kupakia abiria kwani daladala ni fupi na hazijatengenezwa kwa ajili ya BRT.Nasikia zinaongezwa daladala 15, kwenye njia ya DART kuna ukweli hapo?
Mi nilikuwa nashaur mabasi yote yawe na led light mbele na pembeni, led light zenye maandishi yanayobadilika yanayoelezea bus linatoka WAPI na linaenda WAPI ,maan dar inafikiwa na wagen wengi unakuta mtu kangia kwenye gar ndo anauliza hii gar inaenda wap kitu ambacho hakifai,kingine wale kama Askari sijui migambo waliopo pale wanatakiwa wakimuona mtu anazunguka zunguka wamfuate WA muulize unashida gan maana wao wanasubir Waulizwe unakuta kuna kunautaratibu WA folen mgen hajui anaona tu watu wamesimama kumbe wako kwenye folen we utashangaa Tu gar ikija wanageukiana,sasa Kwa mgen unakuta hajui chochote kinachoendelea unakuta kazagaa Tu lakin wale Askari wangekuwa wanamuwahi kumuliza wangemsaidia na kumwelezea utaratibu
Ndo shida warudishe na waweke mfumo WA kumentaini wakijua tuko AFRIKA na siyo ulayaMbona wakati mradi unaanza zilikuwepo,pia ndani ya basi kulikua na pa ya kueleza gari linatoka wapi kwenda wapi na kila kituo kilikua kinatangazwa sema waafrika hasa wabongo ni waharibifu zaidi kuliko kutunza na kuboresha.
Ndo shida warudishe na waweke mfumo WA kumentaini wakijua tuko AFRIKA na siyo ulaya
maintenance my a55, gari likizingua tu,Ndo shida warudishe na waweke mfumo WA kumentaini wakijua tuko AFRIKA na siyo ulaya
Zinatakiwa ziwe kwenye gar kabisa maana mtu anaweza pandia uko katikatimaintenance my a55, gari likizingua tu,
utalikuta pale Jangwani limelazwa, na ndiyo mwisho wake huo
wakati mradi unaanza LED kubwa (GEREZANI-KIVUKONI, etc) kabisa ambazo zina scroll kulia-kwenda-kushoto zilikuwepo kwa windshield kwa juu