DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Sema taratbu bhana
Huyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
 
Eti DC hajaolewa,nashangaa wazaramo wanamtazama tu.

Jafo hebu ongeza na huyo kundini ajue wazaramo hatushindwi.
 
Kutongoza na kugonga wake za watu ni kuvunja maadili ya uongozi wa umma na waliapa kutokufanya hivyo
 
Hili pozi la Disii linatia shaka sana. Jamaa atakuwa alimmegea aisee. Ingekuwa mimi ungeenda jela! Yani huogopi kabisa kabisa!
Acha kutia petrol basii.... maana hakuna kitu kinauma kama kumegewe, imagination ndio huwa zinatesa sana.. ukifikiri lijamaa lilikuwa linamkunja kunja 😀😀😀
 
All d best mkuu maombiyangu ZILE NAMBA ZA MALIPO ZISIKUHUSU HUKO MBELENI SIJUI WANAITAJE TENA.....NGOJA NIMUULIZE KINA MDEE. A BR MSIGWA WALILIPIA WAPI
 
Sema taratbu bhana
Ila Abul Aaliyah tuende mbele turudi nyuma. Huu utawala una matatizo sana. Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kusimama hadharani na kumsimanga DAS eti anatembea na wake za watu. Kwani alibaka? Kwani kuna official case kuwa alibaka? Sasa huo ushahidi kaupata wapi? Nakwanini asifanye kiofisi akamtimua tu taratibu? Kwanini Mkuchika na Jafo wasimalize hilo suala mpaka anakuja kutamka hadharani hayo mambo? Anajua madhara yake kwa familia ya aliyemtuhumu? Ndugu zake je? Mke na watoto je? Haya mambo haya.
 
Hakuna tena wa kumkubalia kumpatia mzigo Mwampamba maana sasa anaenda kuwa katibu kata tena huko maporini tu hata umeme atausikia tiibiisiii
Huenda vitu vitamu.. ndio maana jamaa aling'anga'na.. kapata alichopata sasa. Ila huu mda hayupo kazini ndio wakati mzuri wa kukamua..
 

Hapa unajichoresha tu, kwa uzi huu na hizi picha zinazoendelea humu ndani, hata kama sio kweli kisemachwo unakibadilisha vipi? Isitoshe hizi habari za kuwa jiwe anapiga hiyo mashine, ni tetesi za muda mrefu. Maamuzi ya leo ni mambo ya penzi kitovu cha uzembe.
 
Duh "Atumbuliwa kwa kutongoza Wake za Watu"?? Hii heading hahahaha italeta mtafaruku kwenye familia. Kila atakapopita àtakua Branded hivyo!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…