Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Mimi siyo kama nyinyi waramba miguu
Wewe hapo kwa Mbowe una uhakika bwashee?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe hapo kwa Mbowe una uhakika bwashee?!
Huyo atakuwa aliingia anga za mtu. Kwani hajui kuna teuzi zinafanyika kulinda maslahi binafsi? Mtela Mwampamba akome kabisa maana kila akiona kinachong'aa anadhani ni halali yake. Aliingia vibaya. DC piga kazi sana kwa utulivu.
Kumbe Tarafa pia ina Katibu Tawala?Ni kutokana na tabia ya kutongoza wake za watu.
Katibu tawala wa Tarafa ateuliwa.
2020
Jaffo ameshafunga hesabu ya kidini!Eti DC hajaolewa,nashangaa wazaramo wanamtazama tu.
Jafo hebu ongeza na huyo kundini ajue wazaramo hatushindwi.
😀😀😀😀[emoji23][emoji23][emoji4][emoji23][emoji23]
Kutongoza na kugonga wake za watu ni kuvunja maadili ya uongozi wa umma na waliapa kutokufanya hivyoNdo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.
Dah...hujaeleweka mkuu[emoji2960]Atakuwa amegusa pabaya[emoji1]
Acha kutia petrol basii.... maana hakuna kitu kinauma kama kumegewe, imagination ndio huwa zinatesa sana.. ukifikiri lijamaa lilikuwa linamkunja kunja 😀😀😀Hili pozi la Disii linatia shaka sana. Jamaa atakuwa alimmegea aisee. Ingekuwa mimi ungeenda jela! Yani huogopi kabisa kabisa!
Ila Abul Aaliyah tuende mbele turudi nyuma. Huu utawala una matatizo sana. Ni aibu kubwa sana kwa Rais wa nchi kusimama hadharani na kumsimanga DAS eti anatembea na wake za watu. Kwani alibaka? Kwani kuna official case kuwa alibaka? Sasa huo ushahidi kaupata wapi? Nakwanini asifanye kiofisi akamtimua tu taratibu? Kwanini Mkuchika na Jafo wasimalize hilo suala mpaka anakuja kutamka hadharani hayo mambo? Anajua madhara yake kwa familia ya aliyemtuhumu? Ndugu zake je? Mke na watoto je? Haya mambo haya.Sema taratbu bhana
Huenda vitu vitamu.. ndio maana jamaa aling'anga'na.. kapata alichopata sasa. Ila huu mda hayupo kazini ndio wakati mzuri wa kukamua..
Eeeh! Hata mzee Machache? Usije kuta naye "alitumbuliwa" kiaina.
Rafiki hapa umekosea sana, inainyesha unamchukia Jokate? au umeandika kupata sifa fulani??? JOKATE mwenyewe kashtuka nusra roho imtoke, huyu Mtela HAJAANZA LEO NA JPM kasema wazi kabisa kuwa ameishaonywa mara nyingi sana
unataka kusema mkono au macho ya serikali yako kwa wakuu wa wilaya??
hapo umemkosea Jokate sana, na kama unajiheshimu, TUBU au kiri kuwa umeandika kimakosa kabisa
kibaya umeandika kama vile una uhakika kabisa kabisa?? aisee , wewe ni muuaji mchawi
We utakua rindaless! Inakuaje unacheka hadi spring za nyuma zinaachia?nimecheka hadi nimejamba
Mtoa uzi ndiyo sourceSource?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo yule alikuwa na Juliana Shonza kipindi kile Chadema.
Ila Jocate kafanya vibaya kumchongea mwenzake. Sasa kuchukua wake za watu kunahusiana nini na kazi yake. Ila serikalini huwa kuna watu wanafki. Mnafanya kazi fresh, halafu ukimpa mgongo anakusema vibaya.
JOCATE ACHA USINITCH.