DAS Kisarawe, Mtela Mwampamba atumbuliwa kwa kutongoza wake za watu

Nimegundua kitu kimoja

1. Mkuu amepata kigugumizi kumsifia jokate
2. Amemfukuza DAS kwa ufusca

Connect minus the dots utapata unacho kitafuta.

Usichezee mbuzi ya waziwa na le boss
 
Atakuwa alikatongoza ka Jokate,ndiyo kameamua kumchoma,hatakuja kuisahau CCM,wapinzani alivyokuwa anawatukana sijui atakimbilia wapi?
kwa kuwa alitokea upinzani bado watamsitiri hivyo atapangiwa kazi nyingine[emoji2]
 
Kamkonyeza na kuomba tunda kwa JM bila kujali kuwa hilo ni pumziko la mzee baba.
Na mzee baba hataki mchezo na Mali zake. Anasema chezea kazi Ila usichezee mali ghafi zangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
 
Ili maandiko yatimie kuwa Usaliti malipo yake ni hapa hapa
 
Kwa vile kesho shule zinafunguliwa, na kwa vile yeye ni mwalimu ambaye hakuwahi kufundisha, ni vyema na haki akapelekwa kufundisha shule mojawapo katika Wilaya hiyo hiyo ya Kisarawe.
 
Umemsikia Rais alivyomwambia DAS mpya ?Kamwambia sasa wakagombanie wanaume na DC. That means Jocate na Mtela walikuwa wanagombana.
Watu wakisema tuna kiongozi kituko wanabisha kwa sababu ya ushabiki wa kisiasa tuu.
Hizi kauli huwezi kuzisikia acha kiongozi makini tuu bali hata mtu wa kawaida aliye makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…