David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Lisu sio size ya huyo tumbili.
 
Mbona Kafulila ajibu hoja? Samia ndo ana takiwa kujibu, kwa nini watu Wamsaidie kujibu? By the way what is wrong with Samia Kumshikilia Dr Slaa muda wote huo? Au ndo incompetence yenyewe, ccm bhana kulazimisha kushika dola bila uwezo, hasara sana.
 
Ccm itoe kwenye ushindani wa hoja, yenyewe inategemea vyombo vya dola tu, na ikilogwa ikiangia kwenye ushindani wa haki itapoteza pakubwa.
 
Sawa Mr. Kafulila tumekupata
 
Nimejilaum click video?? sasa kafulila ndy waku mpambanisha na lissu kwell kwa sas ccm wajuwe watu washapata elimu kuhusu siasa ni biashara kama biashara nyingine kwass kwa maoni yangu Kam TAl hakigombea CDM na Sa100 uchaguzi huu labda policcm,(chawa wa bosi time huru )wahingilie Kati kumtetea bosi
 
Kwani Lissu ana Nini cha ziada?
 
Kafulila labda hoja kidogo za uchumi, kwingine lissu atamtoa nock out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…