David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

Easy to do business nadhani Kafulila ndio alimaanisha
 
Wanamuita lissu mbarikiwa, haya ni maneno ya kiswahili, ambayo watu huyatengeneza na kukaa, kama ilivyo jiwe, mzee wa ruksa na vyote.
Lissu is nothing to discuss.
Wewe sio ccm.
Ccm wenyewe walishavuka maswala ya kudiscuss chadema.
Ccm is very huge. Usipoteze muda. Wakati ni jibu tosha. Wait for the ellection. Tayari kura yangu ni kwa ccm, hata awe raisi Makamba, ni kwa ccm. Ila kwa sasa. Kura yangu ni ccm under samia.
 
Easy to do business nadhani Kafulila ndio alimaanisha
 
Hivi hijo akili ya TUMBILI anayosifiwa nayo ni kwa kitu gani alichokifanya?
 
Kafulila kwa sasa ni mtumishi wa serikali, si mtumishi wa CCM. Kafulila anapojibishana na wanasiasa anakiuka kanuni za ajira ya watumishi wa serikali.
 
Kafulila kwa sasa ni mtumishi wa serikali, si mtumishi wa CCM. Kafulila anapojibishana na wanasiasa anakiuka kanuni za ajira ya watumishi wa serikali.
Your correct, ipo haja yakupeleka shauri tume ya maadili ya watumishi wa umma, hatakama alitaka kukanusha hakupaswa kumtaja kwa jina
 
Sasa unataka kumfananisha Kafulila na nani hapo CHADEMA?
Mkuu, kweni huyo Kafulila si amepevukia hukuhku upinzani; Je alikuwa na cheo gani kikubwa? CHADEMA ndicho kinacho tengeneza vijana na hatimae kuvinufaisha vyama vingine.
 
Mkuu, kweni huyo Kafulila si amepevukia hukuhku upinzani; Je alikuwa na cheo gani kikubwa? CHADEMA ndicho kinacho tengeneza vijana na hatimae kuvinufaisha vyama vingine.
Ni Kweli na Kafulila ni levels za hao akina Lissu
 
yaani lissu asumbuliwe na tumbili,utakuwa umebanwa na haja kubwa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…