Dawa ya Mpenzi anayekujibu dharau au ambaye hana muda na wewe ni hii hapa

Mimi nilishatangaza vita rasmi na masimp, nawamind vibaya sana kwasababu ni tatizo kubwa sana aisee. Hapa saa hii naandaa nyuzi za kuwanyoosha. Masingle mother, masimp na mafeminist sio watu wa kuwachekea hata kidogo.

Vita ya nyuklia iwaelekee usiku na mchana tuwateketeze.
 
Vipi Kwa mwanaume ikiwa ulimfanyia hvyo Mpenzi wako Hadi akachukua hatua kuondoka nyumbani

Baada ya kuondoka ndio unakuja kugundua umuhimu wake thamani yake kwako je unajirudi vipi ?na utatumia mbinu gani kumrejesha?
 
Sahihi kbsa
 
Hakika ulimnyoosha kweli kweli
 
Ulichoka bure mkuuπŸ˜‚
 
Aisee πŸ€”
 
Unajichosha tu

Tafuta hela , pesa ndio ulimbo wa wanawake wengi
 
Mna balance shobo .
 
Bro!
For the sake of your life n peace...usirudi kwenye maisha yake sababu ulishamuumiza, kama umeenda wewe nenda tu sababu mwanamke hatokuja kukuamnini tena atajua unamjaza then utapotea tena. Siku ukianza kujaa na kuwa mwema yeye ndio atakunyoosha sababu atahitaji kulipa kisasi.
Vipi Kwa mwanaume ikiwa ulimfanyia hvyo Mpenzi wako Hadi akachukua hatua kuondoka nyumbani

Baada ya kuondoka ndio unakuja kugundua umuhimu wake thamani yake kwako je unajirudi vipi ?na utatumia mbinu gani kumrejesha?
 
Mimi nimepigwa nazo nyingi sana ila njia nyingi zilifeli sana ila chache ndio nimeandika ndg Mjomba
Pole mjomba, kama ilisaidia hongera. Maana sisi mpaka tulipojaribu kuloga wale walozi nao walia kuhusu mapenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…