FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #101
Mama tunakuomba uusome Tena huo mkatabaMama anaona Watanzania wana kelele na sio maoni kaamua kama ni mbwai iwe mbwai
Mkataba kama huu ungeungwa mkono na serikali labda ya UK. Serikali na wewe unatetea maslahi gani?Watanzania wengi wajinga mnapiga kelele bila uelewa mngesubiri utekelezaji muone kwa vitendo.
Rais kilaza ni tatizo kubwa kwa nchi.Hajasoma sehemu yoyote ni kweli zaidi ni heading na sehemu ya kusaini
Hicho walichosaini ni nini?Subirini tusaini mikataba kwanza tutwapa taarifa za mikataba. Kiuchavhe tu. Maana biashara ni siri.
Hizo zako ni akili za mbuzi nenda kawashauli hao wajinga wenzako, ni mjinga mmoja tu kama wewe ambaye anaona moto mkubwa unawaka mbele na bado anakwenda kuona kama ataungua au laWatanzania wengi wajinga mnapiga kelele bila uelewa mngesubiri utekelezaji muone kwa vitendo.
Hahah, huyo jamaa taahira kabisa, eti tusubiri tuone utekelezaji kwa vitendoHizo zako ni akili za mbuzi nenda kawashauli hao wajinga wenzako, ni mjinga mmoja tu kama wewe ambaye anaona moto mkubwa unawaka mbele na bado anakwenda kuona kama ataungua au la