FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #101
Serikali imepata funzo kutokana na DP World
Ukitazama viongozi wanavyoongea utabaini yafuatayo:- i. Wamejua kumbe siku hizi si rahisi kuwadanganya watanzania ii. Watanzania si waoga tena kuhoji mambo makubwa ya nchi iii. Oya oya za vijana wa mitandaoni hazimaanishi ni watu wa kuchukulia poa, wakiamua kuliamsha inawezekana Pamoja na...