TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Poleni,kuna mama mmoja alikunywa pombe akaingia kulala na asubuhi mlango kuvunjwa damu zimetapakaa.Daktari alisema pombe imepasua bandama.Simaanishi dereva alikunywa,ila tungesubiria taarifa kamili.Tunaeza tukana sana humu tukaingia dhambi kumbe hajauwawa. Nadhani muda ni hakimu mzuri tuvute subira
 
Kila rais lazima atakutana na upinzani, ishu ni unariact vipi. Mm nadhani rais Kikwete ndio aliweka mfano mzuri kwa hapa bongo
Na wakati mzee wa wa watu alitukanwa sana akaamua kukaa kimya.Wabongo hawana jema
 
Jamiiforums umejiunga lini mkuu hivi unajua huyu jamaa alishawahi kushambuliwa na mapanga Kwa mambo haya haya ya siasa? Uzi upo humu jamiiforums.
 
 
Muulize heche fala wewe, acha kubwabwajwa kingese hapa. Mtu mumemkabidhi kwa heche halafu linamkuta jambo mnakuja mitandaoni kueneza ujinga wenu.
Kivp aulizwe heche kwani walilala wote chumba kimoja?
Ndo akili na ujinga wenu huu. Mnafanya hatia kwa maksudi kisha mnakuja na visingizio na assumptions zisizo na mantiki. Yaani kutoa uhai wa Watanzania wenzetu siku hizi imekua jambo dogo na la kawaida tu kama kafa kuku.
Jipeni matumaini tu na kuvimba kichwa ila siku yaja mtalia na kujutia matendo yenu maovu.
 
Tutaendelea kumwachia Mungu mpaka lini mkuu?
Kipi tutakifanya mkuu maana vyombo vilivyopewa dhamana ya kutulinda vinaruhusu haya , je tuwe watu wa kulipa kisasi au Mungu atulipie? , Tukilipa sisi tutakosea kulipa ila malipo ya Mungu hajawahi kosea kulipa na anaweza kulipa hadi tukaja baki kuwa na huruma tena kwa mlipwaji.

Kadafi alifanya kila namna ila malipo yake mpka leo huwa tunaona huruma hata kuangalia hatuwezi rudia mara mbili, vipi Kwa Sadam husein, vipi kwa Samwel Doe acha tuvumilie tuuwawe ila kabla hawajaendelea na raha zaidi Mungu atawaumiza na kukumbuka malalamiko yetu yote na uzuri hukumu haiko mbali i karibu mno
 
Hatupo salama, hata anayedhani yupo upande wao na yupo salama bado hayupo salama, Polepole wa 2015-2021 na Polepole wa 2021-> walikuwa watu wawili tofauti.

None of us is safe!
 
CCM hawatokubali kuachia Dola kirahisi

Ili kuwaondoa CCM inabidi ili anaewatoa madarakani atumie nguvu kubwa kuliko ile walioitumia 29/10/2025 kubaki madarakani

Siyo kwa maandamano Wala sijui migomo,no

CCM wanaijua lugha moja tu ya ukatiri,basi
πŸ“ŒπŸ’―
 
Dahh!!!! 😭 😭 😭, Ni huzuni kubwa sana, haya ni mauaji kabisa, wamekuta damu zimetapakaa sakafuni ni wazi kuna foul play

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi..
Damu zimetapakaa Tena !? Kweli hapo ni assassin
 
Pengine kuna siku haya yataisha
Sio Kwa maneno tu ya nyuma ya keyboard na kuwaacha watesi wafanye Vyovyote vile wanavyo jisikia ,

Umeona jamaa the walivyo na dharau na Wala hawana hofu yaani Tarehe 7 ni kesho kutwa tu hapo lakini wao ndio kwanza wamemwagia petrol kwenye moto it means hawawaogopi wananchi Wala Hawa wawazi
 
Kila rais lazima atakutana na upinzani, ishu ni unariact vipi. Mm nadhani rais Kikwete ndio aliweka mfano mzuri kwa hapa bongo
Exactly! Kikwete alikuwa mfano mzuri! Hata Samia alitaka kuifanya NCHI iwe na democrasi na uchumi imara!
Tatizo watz hawana jema na hawana subra..mama wa watu akahamua afuate siasa za magufuli ili kuwaunga mkono kina Tlaatlaah and the like
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…