TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

Huu utawala unajitengenezea kumbukumbu mbaya sana kwa kizazi cha sasa na kile kijacho.
Wanawachokoza wananchi halafu wananchi waki react wanasema wanalipwa, wamechokoza wenyewe sasa ngoja 7/7 watoto waje kudai haki yao ya kuishi bila kutekwa .
 
Mlioko mkoani mara fanyeni mambo huko kajileta!!! Hivi kuna umuhimu gani wa kuhangaika na uchunguzi, moja kwa moja wana ccm wanalijua hili. 7/7 sio mbali kisiponuka basi kinawaka. Vya kuzingatia ndugu wandamanaji wenzangu twende na mabango tu.
 
Kila rais lazima atakutana na upinzani, ishu ni unariact vipi. Mm nadhani rais Kikwete ndio aliweka mfano mzuri kwa hapa bongo
 
Nashauri hao walikuwa wanafuatilia msafara wa heche wanahusika pakubwa uchunguzi huwezi kufanyika maana wameshapewa maelekezo kutoka juu litaminywa tena
 
Marehemu alikua hodari sana kushangilia vifo vya wenzake, kumbe na nyie nyumbu wa chadema huwa mnakufa?

Tunashukuru Mungu kwa hichi kidogo.
 
Kuna mambo yanatia hasira nchi hii.
 
Idara ya usalama ifumuliwe coz badala ya kulinda taifa yenyewe inafanya compromise ya kulinda maslahi ya wachache!!

Kama waliotekwa na kuuawa ni kwa ajili ya maslahi ya taifa ni sawa maana Kuna watu hufa kwa ajili ya taifa lao!

Lakini

Kama ni kwa maslahi genge fulani,basi tumefeli pakubwa sana!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…