Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #221
KeshoLini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KeshoLini?
Ni kwa sababu shetani hayupo.Kwani shetani mwenyewe anasemaje?
Sijawahi msikia akijitetea
Katika fasihi simulizi kuna hadithi zinaitwa Vigano.Sio rahisi kama unavyofikiri.
Na sio kanisa tu bali dini zote duniani wataharibu kila kitu kuanzia historia ya hiyo dini ,na madhaifu mengi ya kutengeneza yatafanyika ili kudhoofisha Imani za waumini wa dini husika .
Kisha ndipo wataleta dini yao mpya , serikali moja duniani kote, pesa zitakuwa za electronic ,hutohudumiwa chochote bila ya kuwa na nembo yao, na hilo waliianza tangu kipindi cha corona.
Acha uongo ile movie ilikua ina depict maisha ya zaman ya jamii zilizokua zinaishi amazon red indian haina uhusiano wowote na freemasonUnakumbuka ile movie ya Apocalypto? Kuna kipande kinaonesha mtu anatolewa moyo then unaliwa hadharani.
Ule ni mfano wa hayo, wanapenda kuonesha mambo yao kupitia movies.
Ndugu, hivi unajua kwamba Freemasonry practices ni copy and paste from Ancient civilizations mystery?Acha uongo ile movie ilikua ina depict maisha ya zaman ya jamii zilizokua zinaishi amazon red indian haina uhusiano wowote na freemason
Sawa Mungu hayupo.Ni kwa sababu shetani hayupo.
Kila siku nasema hapa Shetani hayupo na Mungu hayupo.
Shetani ni kichaka kinacho tumiwa na watu kusingiziwa ili kuhalalisha matendo maovu ya kibinadamu.
Kauli kama shetani alinipitia, shetani alinishawishi zinatumika na watu wengi kukwepa makosa yao ya kibinadamu.
Mungu ni kichaka kinacho tumiwa na watu kukwepa uwajibikaji na majukumu ya kibinadamu. Kauli kama Mungu atatenda, Mungu asaidie, Mungu akipanga ni mfano halisi wa hicho ninacho kwambia.
Hiyo project blue beam ndyo funga kazi.Ni projects za muda mrefu sana.
Kuanzia Ile human cloning, All Seen One Eye project (ASO Project) na Blue beam project , zote ni project za muda mrefu kusimamisha New World Order (N.W.O).
Umesoma mambo ya kiswahili huwezi kuelewa dunia inaenda endaje .Katika fasihi simulizi kuna hadithi zinaitwa Vigano.
Ndio hii uliyoandika hapa.
FoolishNi kwa sababu shetani hayupo.
Kila siku nasema hapa Shetani hayupo na Mungu hayupo.
Shetani ni kichaka kinacho tumiwa na watu kusingiziwa ili kuhalalisha matendo maovu ya kibinadamu.
Kauli kama shetani alinipitia, shetani alinishawishi zinatumika na watu wengi kukwepa makosa yao ya kibinadamu.
Mungu ni kichaka kinacho tumiwa na watu kukwepa uwajibikaji na majukumu ya kibinadamu. Kauli kama Mungu atatenda, Mungu asaidie, Mungu akipanga ni mfano halisi wa hicho ninacho kwambia.
Hatar noma sana.Hii inafikirisha sana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Foolish
Hii ni baad au after unyakuo?Sio rahisi kama unavyofikiri.
Na sio kanisa tu bali dini zote duniani wataharibu kila kitu kuanzia historia ya hiyo dini ,na madhaifu mengi ya kutengeneza yatafanyika ili kudhoofisha Imani za waumini wa dini husika .
Kisha ndipo wataleta dini yao mpya , serikali moja duniani kote, pesa zitakuwa za electronic ,hutohudumiwa chochote bila ya kuwa na nembo yao, na hilo waliianza tangu kipindi cha corona.
Wale Investors 😅Naaam kama uliona series ya gangs of London Kuna watu wana control mfumo wakikuchoka wanakuchoma ndio yanayo mkuta Ali msomali Didi Cc Carleen Mr Q rip faza_nelly Scars
Nincompoop.Foolish
Unajifanya kuijua dunia ukiambiwa uthibitishe uwepo wa huyo shetani unayejidai kumuongelea huwezi.Umesoma mambo ya kiswahili huwezi kuelewa dunia inaenda endaje .
Asili yangu ni wazazi wangu.Sawa Mungu hayupo.
Tuambie asili yako ni nini?
Hawa wanapachika maelezo yao uchwara kwenye movies za watu.Acha uongo ile movie ilikua ina depict maisha ya zaman ya jamii zilizokua zinaishi amazon red indian haina uhusiano wowote na freemason