AlanusJosephat53
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 747
- 746
Mimi sio CHADEMA. Narudia tena mimi sio CHADEMA. Zamani nilikuwa nakuchukulia mtu mwenye IQ kubwa sana ila kadri siku zinavyokwenda nazidi kuelewa we ni mtu wa aina gani uwezo wako ni mdogo sana hasa katika uelewa wa mambo ya kijamii.Inaonekana post #40 ama hujaielewa, ama una mahaba sana na CHADEMA imekufanya kipofu usiyeona.
Halafu wewe mwenyewe unafanya kosa lile lile unalolikataa la watu wa chama cha upinzani kukisema vibaya chama kingine cha upinzani.
Kama watu wa chama cha upinzani hawatakiwi kukisema vibaya chama kingine cha upinzani, kwa nini wewe unakisema CHAUMMA badala ya kuisema CCM?
Wewe lini umesikia CHADEMA kinaijadili sera ya CHAUMA ya ubwabwa? Au ni bonge la sera Hilo?Sasa kama changamoto za wananchi ni pamoja na mapungufu ya vyama vya siasa visivyo madarakani utasemaje mapungufu ya chama chochote kisicho madarakani hayahusiani na changamoto za wananchi?
Pia, huwezi kufanya fikra dhahania kuona kuwa siasa ni pamoja na mijadala ya hoja, na ya vyama tofauti vya upinzani vinaweza kukinzana kihoja na kujadili hizo tofauti za hoja ili wananchi wajue misimamo ya vyama tofauti vya upinzani ikoje ili kujua vizuri wajiunge na chama gani?
Soma post #40 hii hoja nilishaipangua.Kwa chama cha siasa makini lazima waone mapungufu kwa chama kilicho madarakani ambacho kina impact ya maisha ya wananchi directly.
Kuona mapungufu ya chama kinachopigania haki kwa wapinzani na wananchi na si chama tawala ni hulka ya vyama pandikizi
Nafikiri upinzani wanatakiwa wapambane na CCM ambacho ni Chama tawala na sio upinzani na CCM kupambana na ChademaMimi sina chama na naona mapungufu mengi kwenye vyama vyote vya siasa Tanzania. Naweka hili wazi ili nieleweke naongea kidhahania si kutetea upande wowote.
Kwa Chama cha siasa kinachopigania ushawishi, kujibu ajenda za chama tofauti ni ajenda ya chama.
Huelewi wapi?
CHADEMA kinaweza kufanya siasa bila kitaja mapungufu ya CCM?
Hujapangua labda kwa akili za mapandikizi ya watawala unaona hivyoSoma post #40 hii hoja nilishaipangua.
Kwa nini umeweka false dichotomy?Kwahiyo Chadema ndiyo ina hayo mapungufu ya maendeleo ya kuangaliwa na siyo ccm iliyoshika madaraka ?
Kwa nini sijaipangua?Hujapangua labda kwa akili za mapandikizi ya watawala unaona hivyo
Huyu amefika bei na yuko tayari kusaliti dhamira na elimu yake kwa tumbo, atakuwa ni g55Mimi sio CHADEMA. Narudia tena mimi sio CHADEMA. Zamani nilikuwa nakuchukulia mtu mwenye IQ kubwa sana ila kadri siku zinavyokwenda nazidi kuelewa we ni mtu wa aina gani uwezo wako ni mdogo sana hasa katika uelewa wa mambo ya kijamii.
Hujajenga zaidi ya upuuziKwa nini sijaipangua?
Hoja niliyojenga ni ipi na kwa nini unasema sijaipangua hoja yako?
Kama nimekuelewa hivi expert wanguHakuna sera ya maendeleo isiyojadili mapungufu.
Maendeleo maana yake ni kuangalia mapungufu na kuyaondoa.
Ili ueleweke hayo maandishi yako ya kiebrania yaweke kwa lugha ya kiswahili. Acha maneno mingimingi.Jadili hoja, usinijadili mimi.
Kunijadili mimi badala ya hoja ni logical fallacy.
Ad hominem fallacy.
Sijasema watafika au hawatafika mwezi wa nane.
Hiyo ni logical fallacy nyingine.
Logical non sequitur fallacy.
Maana kusema kuwa changamoto ya wananchi ni vyama visivyo madarakani ni hoja inayotishia ustawi, haki na democracy nchini ina mashiko nina wasiwasi na integrity yako. Siyo mtu wa kuaminika katika jamii, simply ni G55 wenye akili mgando za fedha na tumbo, you might be one of themKwa nini sijaipangua?
Hoja niliyojenga ni ipi na kwa nini unasema sijaipangua hoja yako?
Kitu kuonekana kuwa kweli haimaanishi ni kweli.Huwezi kanusha kweli inayoonekana kuwa kweli, kwa hali ya kisiasa nchini haikanushiki Kuna taharuki kubwa kwa watawala dhidi ya chama kikuu cha upinzani CHADEMA na kiongozi wake.
Hao waliojiengua CHADEMA kwa kumpinga Lissu hadi kusaliti dhamira zao. Kujiunga na chama kingine na press conference yao ya kwanza badala ya kuongea sera zao ni kushambulia CHADEMA inadhirisha ni mapandikizi ya watawala. Kuwatetea ni pandikizi kubwa au kutojitambua, adui wa wapinzani no CCM
Waachieni CHAUMMA wamshambulie yeyote wanayetaka kumshambulia.Wewe lini umesikia CHADEMA kinaijadili sera ya CHAUMA ya ubwabwa? Au ni bonge la sera Hilo?
Mkuu huwezi kupingisha kweli kwamba adui mkubwa kwa watawala ni Lissu na CHADEMA, Sheria, kanuni hata mahusiano ya kimataifa yankiukwa kwa sababu ya Lissu. Na sababu hoja zake zinatishia uwepo wao madarakani kinyume na kanuni.
CHAUMA na ubwabwa lini imewahi kuwa tishio? CHADEMA wametekwa, wamepotezwa, wameuawa, viongozi kufunguliwa kesi za kisiasa ili kuwadhibiti wasitoe upinzani, siyo chama cha ubwabwa, kuwatetea wanye sera za kuwapinga CHADEMA ni pandikizi na chama chenyewe ni pandikizi la watawala. Period
Huyu amefika bei na yuko tayari kusaliti dhamira na elimu yake kwa tumbo, atakuwa ni g55
Absolute, nimekuwa nikifuatilia toka zamani uelewa wake kwenye masuala ya kijamii na kisiasa uko chini kabsa! Cha ajabu huwezi kuona amekubali kueleweshwa.Huyu amefika bei na yuko tayari kusaliti dhamira na elimu yake kwa tumbo, atakuwa ni g55
Unachofikiri wewe si muhimu.Nafikiri upinzani wanatakiwa wapambane na CCM ambacho ni Chama tawala na sio upinzani na CCM kupambana na Chadema
Mambo ya ajabu sanaHuyu mama azungumzie agenda za chama chake, ajitahidi kuachana kusemea au kujibu agenda za Chadema.
Vv