PreGE2025 Devota Minja mkutanoni CHAUMMA, asema hakuna nchi iliyowahi kuzuia uchaguzi labda kuwe na vita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHAUMA Mwaka Huu Bahari Ifike Dodoma, Kilimo Cha Umwagiliaji Kwa Helicopter
Tanzania Yote Tutakulala UbwabwA

Spunda Hashim
Haa Haa
 
CHAUMA wanatakiwa kujibu ajenda za CCM, sio za CHADEMA.
 
Kama nimekuelewa hivi expert wangu
CHAUMMA inawezekana wana mapungufu wengi.

Inawezekana kikawa ni chama cha briefcase kilichouzwa kwa mapandikizi kutoka CHADEMA.

Lakini, hayo yote hayaondoi ukweli kwamba kina haki ya kikatiba ya kuamua kipambane na nani.

Watu wa CHADEMA wakIanza kukipangia CHAUMMA kipambane na CCM kisipambane na CHADEMA, kwanza wanajionesha hawajui demokrasia, lakini pia wanakuwa kama wanaiogopa na kuinyamazisha CHAUMMA.
 
Unachofikiri wewe si muhimu.

CHAUMMA wanatumia haki yao ya kikatiba na kidemokrasia kupambana na yeyote wanayeona wanataka kupambana naye.

Na hilo halitegemei unachofikiri wewe.

Usijipe umuhimu sana wewe kwenye haki za kikatiba za watu wengine.
Hata watu kupinga CHAUMA kuishambulia CHADEMA ni haki yao ya kikatiba, huwezi kuwazuia.
 
Ili ueleweke hayo maandishi yako ya kiebrania yaweke kwa lugha ya kiswahili. Acha maneno mingimingi.
Naomba tu usihamishe hoja. Weka tu maneno yako kwa kiswahili
Si lazima kueleweka na kila mtu.

Inawezekana wewe si hadhira yangu ya watu ninaotaka wanielewe.

Inawezekana hata nikitafsiri kwa lugha ya kabila lenu hutanielewa bado.

Usilazimishe niandike unavyotaka wewe.
 
Kwahiyo wanapambana na CHADEMA!? Okay, tunashukuru wanajianika wenyewe!
Matumizi mazuri ya pesa za Abdul mtoto wa Maza

Imenikumbusha enzi za Mabutu Seseseko mwanae Kongolo na uchafuzi wa pesa kupitia mashindano ya kujua bendi za muziki

Ilikuwa staili hii hii ya kumwaga pesa kujua bendi pinzani
 
Matizo yako wewe na Watanzania wengi kama wewe ni haya.

1. Hamna nuance. Hamuwezi kuchambua mambo kwa kina mnataka broad brushes, simple stories, all or nothing at all, false dichotomies, na contradictions zote zinazoendana na ujinga huo.

2. Hamuwezi kufanya abstract thought. Fijra dhahania. Hamjui kuwa mtu anaweza kutetea hoja ya chama cha upinzani kupingana na chama kingine cha upinzani bila kutetea chama chochote. Mshaziea siasa za vikumbo vya kugombania kuingia kwenye daladala. Siasa za kuangakia watu na vikundi, si za kuangalia hoja. Ndiyo maana huamini kuwa inawezekana kupishana na mtu hoja tu bila ya huyo ntu kuwa G55.

G55 inanihusu nini mimi?
 
Reactions: Tui
Kwani sasa hapa unafanya nini?Si unamshambulia mpinzani mwenzako?Au na nyie ni pandikizi?Ndio tatizo lenu mnajinadi kuwa nyinyi pekee yenu ndio wapinzani. Wengine wote ni mapandikizi wakijibu mnawasingizia kununuliwa Jibu hoja kuna Chama kiliwahi kusimamisha uchaguzi?Hii ndio hoja sio kumshambulia aliyeleta hoja.
 
CHAUMA wanatakiwa kujibu ajenda za CCM, sio za CHADEMA.
Hapana, huna haki ya kuwapangia CHAUMMA wajibu ajenda za nani.

Kuwapangia hivyo ni kuvunja haki zao za kikatiba na kidemokrasia.
 
Hata watu kupinga CHAUMA kuishambulia CHADEMA ni haki yao ya kikatiba, huwezi kuwazuia.
Sijawazuia, nasema ni ujinga tu.

Hutakiwi kusema ni haki yako ya kidemokrasia kuzuia watu wengine kutumia haki yao ya kidemokrasia.

Kwa sababu dhana hiyo ni contradiction itakayofungua mlango wa wewe mwenyewe kuzuiwa kutumia haki yako ya kidemokrasia.

Halafu CCM ikikuvunjia haki zako za kidemokrasia utalalamikaje hapo?
 
sasa ccm si ni chama kilichopp madarakani? lazima mapungufu yao na ujinga mwingine wanaofanya kuharibu nchi viongelewe, thats why ni jukumu la vyama pinzani kuonesha jinsi walioko madarakani wana haribu na watoke wapishe nchi iendeshwe na sera zingine.

Sasa chama kingine pinzani badala ya kuongelea mapungufu ya ccm walioko madarakani ili waujulishe umma sera zao wazikubari, wao wanaongelea sera za wapinzani wenzao chadema. Tukisema ni ccm iliojivika ngozi ya chui ili wawavunje nguvu chadema sababu wana sera zenye nguvu tutakua tunakosea?
 
Hawajawazuia CHAUMA kuzungumza chochote, wamekosoa mkakati wao wa kushambulia chama kingine cha upinzani.
 
Hiyo no. 2 inakuhusu wewe, hivi ulitumia vigezo gani kusema mimi ni CHADEMA au Kuwa na mahaba na hiko chama!? Unaweza kuthibitisha!? Ndio maana nasema uwezo wako ni mdogo sana hasa katika masuala ya kisiasa na kijamii.
 
Suala siyo hawaruhusiwi kushambulia chama kingine cha siasa, suala ni DHAMIRA.

Kwa madeleka kuhamia ACT nionyeshe kauli ya CHADEMA inayoashiria kulia waliyoitoa? Kwani alikuwa na impact gani CHADEMA au kwenye siasa za Tanzania? Hizo ni fallacy zako.

Kwenye hali hii ya kisiasa ambapo kiongozi mkuu wa upinzani anayetambuliwa hivyo siyo Tanzania tu bali hata nje ya Tanzania kupewa kesi ya kisiasa, wanachadema kutekwa, kuuliwa kupotezwa kwa sababu ya msimamo wao wa kisiasa unaowatikisa watawala dhalimu, ukurupuke kuja kuwapinga lazima uonekane chizi tu.

Unawakamata raia wa kigeni wakati wakazi wa East Africa tuna free movement. Ujinga juu ya ujinga unaofanywa na serikali halafu kitokee chama kiwe na sera za kukupinga siyo CCM, kitakuwa ni cha majuha
 
Huna haki ya kukipangia chama cha upinzani kipinge nini.

Hiyo ni haki ya kidemokrasia na kikatiba ya chama hicho.

Wewe haki yako ni kukikataa hicho chama kama hukubaliani nacho.
 
Reactions: Tui
Hawajawazuia CHAUMA kuzungumza chochote, wamekosoa mkakati wao wa kushambulia chama kingine cha upinzani.
Huo mkakati wao wa kushambukia chama kingine cha upinzani ni haki ya CHAUMMA ya kidemokrasia.

Unaweza kutokubaliana na msimamo wa CHAUMMA, lakini huna haki ya kuikosoa CHAUMMA kwa kuwa na msimamo huo na kutumia haki yao ya kidemokrasia kuusema.
 
Hiyo no. 2 inakuhusu wewe, hivi ulitumia vigezo gani kusema mimi ni CHADEMA au Kuwa na mahaba na hiko chama!? Unaweza kuthibitisha!? Ndio maana nasema uwezo wako ni mdogo sana hasa katika masuala ya kisiasa na kijamii.
UnalazImisha CHAUMMA wasikikosoe CHADEMA, jambo ambalo ni haki yao ya kikatiba na kidemokrasia.

Mpaka hapo una mahaba na CHADEMA.
 
Ni ya wajinga wachache wanaojiona Wana akili kumbe Bure. Hao ndio g55

Huna unachochambua kwa kina hapa, nini cha kuchambuliwa kwa kina kuhusu CHAUMA? Yaani katika wapuuzi utakuwa ni mmojawapo maana haihitaji sayansi ya nuklia wala kutumia terminologies za kishamba ili kujenga hoja sahihi hapa. Unashambulia watanzania ukifikiri ni malimbukeni hawajifahamu kumbe wewe ndio mapungufu na terminologies zako. Tuonyeshe simple story kwenye current geopolitical climate hapa nchini?
Tuonyeshe false dichotomies
Tuonyeshe contradiction kwenye hili la hawa wapuuzi unaowatetea dhidi ya CHADEMA.

Usiwe mpuuzi kwa kuleta hoja ambazo haziakisi hali halisi ya kisiasa nchini,hakuna hoja yeyote ambayo unaweza kutetea CHAUMA kushambulia CHADEMA na kutaka kuwabagaza watanzania, wewe ndio dhaifu na hao unaowatetea, siasa za vikumbo na upumbavu wote unazotaka kuwaita watanzania ni upumbavu wako wewe mama watanzania siyo wajinga kama unavyojitahidi kutuita bali wewe pandikizi na wajinga wenzio.

Hivi watanzania hawaoni wanavyotekwa, kuuliwa, kupotezwa na ubabe mkubwa unaofanywa na polisi halafu unasema wamezoea siasa za kugombea daladala? Unajitambua kweli? Una matatizo kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…