permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Huyu Rais wa Ukraine ni mfano wa kuigwa, kakomaa na msimamo wake hadi mwisho. Hivi ilikuwa na maana gani kuweka live haya mazungumzo?. Katoa somo kubwa hata kwa marais wa Afrika, hata kama tuna shida, basi zisitufanye watumwa.Hawa wa maeneo ya huko ni wababe sana
Kuna wakati Trump alimwambia kuna stupid president
Jamaa alimwangalia nikasema atampiga
Lakini ikumbukwe Trump kafanya makusudi kwa press hiyo
Sasa mjue marais wa Africa wanapoenda kuomba huwa wanafanywa nini
Bora Sele kajitetea na dili naona limekufa rasmi maana hata Dinner aliyoandaliwa aligoma kwenda
Kwani zelensky ndio alianzisha vita?Trump anampasulia ukweli kuwa "nguvu hana" halafu anataka aisukume dunia katika VITA VIKUU VYA 3....hivi ukiacha Urais wake kwa watu wake , Zelensky anawafanyia kazi akina nani kufikia malengo ya hivyo vita vya 3 vya dunia ?!!
From your foggy orchard, you misconstrued the each bit of situation as it was unfolding. Of course well aware of threats lying ahead, Zelensky stood his ground, while amplifying his position by highlighting the historical perspective of the conflict.Kwa mara ya kwanza nimemuonea huruma Zelesky kwa upumbavu wake. My thoughts are to Ukrainians to see their leader is humiliated and like this on live media. It's truly saddening.
When you are poor, you should have a very well diplomacy and hypocrisy to deal with today's politics.
Again, sad.
Kweli kabisa mkuu. Ajiulizi kwa nini kila kiongozi wa ulaya hasa nchi zile zenye nguvu za kijeshi, kama France na UK wamekimbilia huko kwa Trump kumsihi aendelee kuwa saidia Europe (NATO) kijeshi. Na wanapiga magoti tena hapo Oval Office Wing asiwatupe katika vita ya Ukraine. Zelensky soon will pay for his irresponsible behavior against American people and their President. SurelyAtavuna anachopanda.
Ameshapandiwa madini kwake na muumba wa ardhiAtavuna anachopanda.
Kiini macho hicho,hawa watu ni wanafiki usiwaamini wanapokua macho
Maelezo mazuri
Awithdraw nini mkuu, wanajeshi wake vitani?
Mwamba alikuwa anajaribu kucalm down ila ni kama walikuwa wamempania!Jamaa n wapuuzi sana wao ndo walitaka kumdharau na kumdhalilisha kikao kama hichi n cha siri ila wamejaza media ili wamtukane live ata mm ningevimba nisingekubali
Hawa jamaa nadhani hawapatani tokea awali kabla ya Trump kuwa rais, angalia video kabla ya Trump kuwa rais.....zoba sana.....unatunisha vipi misuli kwa mtu kama Trump ?!!
Ama alikuwa ndotoni akidhani pembeni yake yuko Rais Joe Biden ?!!ha ha ha
Trump angemwambia amechanganyikiwaNingekuwa Mimi zelensky ningekuwa nawajibu ki Ukraine
Huwezi ukabishana na mtu kwa lugha yake ili uwe huru tumia lugha Yako
Anyway kajitahidi
Dunia nzima inajipanga kuendelea bila US.Plan B yake ni nini bila support ya US?
Siyo kila mzungu anajua kiingereza, huyo Zele kiingereza siyo lugha yake na kwao hawakitumii hata shule hakifundishwi kama sisi.Hii yote inaonesha ukiwa na uchumi unakuwa na kiburi na kujiamini, muone JD na Trump wanavyoongea kwa kujiamini bila kigugumizi kama Zele. Wakuu tutafute hela.
Mezani kufanyaje? Hujamsikia zelensky hapo anasema amesaini mara kadhaa makubaliano lakini putin hakuheshimu?Arudi mezani na putin ,
A-withdraw kwenda wapi? Wayukrein wondoke Ukraine?Zele ni boya hiii vita ata akiamka kesho aka withdraw inaishia lakini ana taka kukomaa na vita ambayo hawezi shinda hata akipewa jeshi la US
Na waliahidiwa Zelensky anaenda kusaini deal la madini, jamaa kafika pale kageuza kibao hataki kusaini deal. Zelensky ni mwanaume.US kupitia Trump wanataka rare earth metals from Ukraine kwa ahadi ya kumaliza vita...
ππππ ππππ, πππππ πππ π ππππππ£πππ ππππ ππ π πππππ πππ?Hii dharau na kiburi na kujiamini kwa rais wa Ukraine ni kwa level nyingine kabisa ambayo hainawahi kuonekana Duniani.
Zelensky yuko oval ofisi ama ikulu ya Marekani na awajibi Trump na Vance kwa dharau na kiburi cha hali ya juu sana.
Trump amesema Zelensky ameidharau sana Marekani tena mbele ya ofisi yao kuu.
Binafsi nimevutiwa na ujasiri wa Zelensky, ni wanaume wachache wanaweza kukaribishwa ugenini na bado wakamkoromea baba mwenye mjiπ.
View: https://x.com/EndWokeness/status/1895528891164606810?s=09