Dharau za Rais wa Ukraine ni za level nyingine, anawakoromea Marekani nyumbani kwao. Angalia video

Kwani zelensky ndio alianzisha vita?
Kimsingi yy ndo chanzo cha vita kuanza kwa kukiuka makibaliano ya mkutaba waliyowekeana nyuma. Kifup kaiangamiza nchi yake lakini ni bora kurudi kiwa meza moja na warusi kuliko kuwa karibu na wamarekani hiyo ni hatari zaidi kwake.
 
Unaelewa chochote kuhusu Martial Law na Katiba ya Ukraine inasemaje kuhusu Uchaguzi wakati wa vita?
 
Kimsingi yy ndo chanzo cha vita kuanza kwa kukiuka makibaliano ya mkutaba waliyowekeana nyuma. Kifup kaiangamiza nchi yake lakini ni bora kurudi kiwa meza moja na warusi kuliko kuwa karibu na wamarekani hiyo ni hatari zaidi kwake.
Makubaliano yapi hayo ameyavunja?

Jana kasema walisaini makubaliano mara kadhaa na Putin, lakini Putin hakuzingatia makubaliano hayo, je alidanganya dunia waziwazi?
 
Mkao wake umeniacha hoi
 
Mwishoni ikawaje!
 
Huyu Rais wa Ukraine ni mfano wa kuigwa, kakomaa na msimamo wake hadi mwisho. Hivi ilikuwa na maana gani kuweka live haya mazungumzo?. Katoa somo kubwa hata kwa marais wa Afrika, hata kama tuna shida, basi zisitufanye watumwa.
Yaani alikuwa na hasira anataka kupasuka

Na ombaomba wote wawe wanawekwa live tuone wanavyo tukanwa huku wanapewa hela
Ila ukizoea kuomba unakuwa huna Soni hata (wakikusonkola) 😄
Unakomaa tu mpaka upewe
Na kujichekesha kwingi

Hapo Zele hata meno huyaoni alivyokasirika
Ila Trump kiboko
 
Utegemezi ni mmbaya kwa kweli

Kama Rais aliye kwenye vita, ndio wahanga walisema; amekufa kiume kule🤣🤣🤣🤣😅
Haswa
Ila waafrika wangekuwa wanasema ukweli wakirudi

Kama aliebakwa ukimwambia "nasikia umebakwa?
Aah ila kwa mbinde,

Ndio nao wanadhalilishwa sana na kuambiwa hivi mtajitegemea lini?
Kila leo kuomba omba tu

Wakirudi naona wanawaambia wa karibu ila nimepambana mpaka kuzipata
Kwa hiyo nusu zangu zingine mgawane nyinyi wote 😄 🤣 😂
 
A-withdraw kwenda wapi? Wayukrein wondoke Ukraine?
Russia hakutaka kuvamia kama sio UK kukaza fuvu na lengo lake sio kuwafukuza wa Ukraine. Hii vita inge8sha kipindi kile wame kaa kupata suruhu ila Uk aka jitoa kwenye mazungumzo
 
....zoba sana.....unatunisha vipi misuli kwa mtu kama Trump ?!!
Ama alikuwa ndotoni akidhani pembeni yake yuko Rais Joe Biden ?!!ha ha ha
Alienda akidhani kweli kaitwa kusaini madili
Ni tamaa zake tu maana kaficha hela nyingi sana za misaada alizopewa
Sasa watamuondoa na kauka nikuvae zake hizo halafu wamuweke wa kwao
 
Jamaa alipigia kampeni Republic siyo..

Ile jamaa anapenda ligi hivi vita havikuwa na umuhimu swala kujiunga NATO halikuwa wazo bora
🤣🤣🤣 Alimsaidia kamara hariss ndio maana wanataka kumnyoosha kumbe dah !!! Kazi anayo
 
Huyu alitakiwa awe kichekesho tu na sio Rais
Na Trump kafanya makusudi ili amdhalilishe
Yeah ile ni makusudi kabisa tena makusudi kubwa . Yule watamtoa madarakani wata muweka mtu wao puppet wa trump na putin na hayo madini watakua wana yachukua kama kawa . Ndio maana akampa sharti gumu ili ashindwe kulifanya ili wapate sababu ya kumbonda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…