Ostrich eggs
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 638
- 453
Kwa hoja mfu kama hizi, yaonekana watafuta kupata vidonda vya tumbo.kwani mawakili walilipwa ?si wanachadema wale walifanya bure?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hoja mfu kama hizi, yaonekana watafuta kupata vidonda vya tumbo.kwani mawakili walilipwa ?si wanachadema wale walifanya bure?
Jpm hakuwa kiongozi bali alikuwa mtawala.Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
EeeenHeee Heeeee!Maskini ndiyo mnabidi muumie zaidi mmezidi kudeka, kwanza hatutaki masikini katika nchi yetu, ardhi kubwa kila mahali mvua zinanyesha, mito kila mahali, maziwa kila mahali, bahari kubwa. Sasa mmeshindwa kuvua, kulima, kufuga au kuwa mmachinga at least? Ebu acheni utani...hatutaki maskini kwenye nchi yetu. Yaani hata matofali mmeshindwa kupiga kwa kutumia nguvu zenu fala ninyi? Wakati tulipokuwa jeshini Makutupora tuliweza kupiga matofali 500 kwa siku kuanzia asubuhi saa 12 hadi saa 6 mchana kwa mtu mmoja, halafu leo mnadeka deka hapa wakati mnaweza na SACCOS na TASAF zipo, ebu acheni uvivu hasa huko kusini, na kanda ya kati na ya ziwa ukiacha Kagera, kote huko wavivu, mnaona urahisi wa kuishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa na zilizoezekwa kwa nyasi. Hamna maana nyiye mnaolia lia ovyo....Opportunity katika nchi yetu ipo kubwa lakini ninyi ni wavivu
Acha kumshusha yule ni shetani + jini + ibilisiTena mara 9
Hili ndilo linalohitaji mjadala makini zaidi. Linahitaji mada iliyoandaliwa kwa makini, kutenganisha maslahi binafsi na maslahi ya wengi, ya nchi.Wanacholalamikia Diaspora ni kwanini Mbowe na wenzake wamejali ya kwao binafsi na kusahamu umma ambao uko nyuma yao, kwenye demokrasia mama hajafanya chochote Mbowe angewezaje kumsifia mama?
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Mkuu, unajua mazungumzo yalipofikia na ni mambo yapi hasa yamezungumziwa?Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
Chadema na ccm haviwezi kua pamoja. Kinachofanyika ni kuutaka upinzani kufanya shughuli zake kwa lengo la kujenga nchi. Sio kufanya siada za uzushi na uongo.Hili ndilo linalohitaji mjadala makini zaidi. Linahitaji mada iliyoandaliwa kwa makini, kutenganisha maslahi binafsi na maslahi ya wengi, ya nchi.
Mbowe, Lissu na wengineo walioathirika chini ya ukandamizi wanayo haki kabisa ya kumshukuru kiongozi (Samia) aliyehakikisha haki zao zinaheshimiwa; lakini hiyo haina maana kwamba agenda waliyokuwa wakiisimamia chini ya chama chao ndiyo iwe imesahaulika.
Kama Samia na CCM yake wamekubaliana na Mbowe na CHADEMA kwamba yanayosimamiwa na vyama vyao sasa yako pamoja, basi wachukue jukumu la kueleza jambo hilo kwa wananchi wajue; na ieleweke kwamba sasa CHADEMA na CCM na kitu kimoja.
Hili hawajaliweka bayana. Wananchi wanasubiri kuambiwa, au waonyeshwe dalili zilizo wazi kabisa, kwamba vyama hivyo sasa vipo pamoja katika mambo wanayoyasimamia.
Nimeuondoa mstari wa kwanza katika 'quote' ya andiko lako hili ambalo ni la ukweli mtupu.Hapa bongo wanafiki ni wengi sana wakiongozana na wajinga wasio jielewa n wasomi wasomi wajinga
Toka mbowe yuko ndani familia yake kaiacha huko uraiani hakuna mtu alieandamana zaidi ya kuzidisha machungu ya kumwita gaid
Viongozi wangapi wa chadema wameswekwa ndani.hakuna alieandamana waka kuonesha uahirikiano
Wabunge woote wa chademA wamenyanganywa ubunge hakuna alieonyesha kujari wakapiga makofi kupongezana
Lisu kapigwa risasi zaidi ya 7 mwilini watu wanakebei wanauliza maswali yasio ya msingi mtu kapigwa risasi akiwa kazini?!inauma Asee hata
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Mkuu 'kmbwembwe', utakuwa umekwama mahala katika nyakati.Chadema na ccm haviwezi kua pamoja. Kinachofanyika ni kuutaka upinzani kufanya shughuli zake kwa lengo la kujenga nchi. Sio kufanya siada za uzushi na uongo.
Kwa upande wa ccm ni kuheshimu uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zao kama wanafanya siasa kwa mujibu wa sheria.
Ni shetani kwa wezi wa Mali za umma,na watu chupli chupli .Jpm shetani
Waache upumbavu wao, wakati anafilisiwa na kufungwafungwa jela walifanya nini kumuokoa?Kama hizo ni kauli za diasport basi itoshe kusema ni WASENGEREMA na akili zao Hazina akili kabisaa! Kwa hiyo walitaka Mbowe asilipwe fedha zake alizodhulumiwa na yule Shetani wa Chato! Au akilipwa amtukane Rais ili awe mpinzani kweli?! They should learn to give credit where it is due!
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Usipende kumchafua Mwalimu kwa kumuweka kwenye kundi moja na huyo kichaa ambae hakuna popote kuna maandishi yake yakatumiwa japo kwa kujifunzia..Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Kiongozi anaejali watu wake ni SSH ndio maana anafanya mageuzi makubwa yanayoonekana kwenye sekta zote za Kiuchumi na kijamii..Umekosea mkuu mi nadhan tanzania bado hatujapata kiongozi hasa anayejali wananchi wake
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.
Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.
Kumfananisha Mwalimu Nyerere na Magufuli ni upumbavu!Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Hakuna cha bure chini ya Jua.kwani mawakili walilipwa ?si wanachadema wale walifanya bure?
***** zao hao, Mbowe Masaibu aliyopitia angekuwa lege lege angeunga Juhudi mkono tangu enzi zile za Jiwe.
Hakuna cha bure chini ya Jua.