Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Jpm hakuwa kiongozi bali alikuwa mtawala.
 
Maskini ndiyo mnabidi muumie zaidi mmezidi kudeka, kwanza hatutaki masikini katika nchi yetu, ardhi kubwa kila mahali mvua zinanyesha, mito kila mahali, maziwa kila mahali, bahari kubwa. Sasa mmeshindwa kuvua, kulima, kufuga au kuwa mmachinga at least? Ebu acheni utani...hatutaki maskini kwenye nchi yetu. Yaani hata matofali mmeshindwa kupiga kwa kutumia nguvu zenu fala ninyi? Wakati tulipokuwa jeshini Makutupora tuliweza kupiga matofali 500 kwa siku kuanzia asubuhi saa 12 hadi saa 6 mchana kwa mtu mmoja, halafu leo mnadeka deka hapa wakati mnaweza na SACCOS na TASAF zipo, ebu acheni uvivu hasa huko kusini, na kanda ya kati na ya ziwa ukiacha Kagera, kote huko wavivu, mnaona urahisi wa kuishi kwenye nyumba za mbavu za mbwa na zilizoezekwa kwa nyasi. Hamna maana nyiye mnaolia lia ovyo....Opportunity katika nchi yetu ipo kubwa lakini ninyi ni wavivu
EeeenHeee Heeeee!

Wewe upo wapi mkuu?

Nimeipenda hii stori yako kiaina, ila umesahau au umeacha kwa maksudi kuwataja hawa wanaolamba asali mchango wao katika "uvivu" wa hawa uliowataja.

Wewe ni mmoja kati ya walamba asali?

Kama wewe ni mtu mwenye utulivu wa akili, nategemea utapata fursa nzuri ya kuangalia kwa kina na undani wa haya niliyokuwekea hapa.
 
Wanacholalamikia Diaspora ni kwanini Mbowe na wenzake wamejali ya kwao binafsi na kusahamu umma ambao uko nyuma yao, kwenye demokrasia mama hajafanya chochote Mbowe angewezaje kumsifia mama?
Hili ndilo linalohitaji mjadala makini zaidi. Linahitaji mada iliyoandaliwa kwa makini, kutenganisha maslahi binafsi na maslahi ya wengi, ya nchi.

Mbowe, Lissu na wengineo walioathirika chini ya ukandamizi wanayo haki kabisa ya kumshukuru kiongozi (Samia) aliyehakikisha haki zao zinaheshimiwa; lakini hiyo haina maana kwamba agenda waliyokuwa wakiisimamia chini ya chama chao ndiyo iwe imesahaulika.
Kama Samia na CCM yake wamekubaliana na Mbowe na CHADEMA kwamba yanayosimamiwa na vyama vyao sasa yako pamoja, basi wachukue jukumu la kueleza jambo hilo kwa wananchi wajue; na ieleweke kwamba sasa CHADEMA na CCM na kitu kimoja.

Hili hawajaliweka bayana. Wananchi wanasubiri kuambiwa, au waonyeshwe dalili zilizo wazi kabisa, kwamba vyama hivyo sasa vipo pamoja katika mambo wanayoyasimamia.
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Viongozi upinzani ni tumbo tu wanapigania. Lisu kadai serikali kiinua mgongo cha ubunge hadi kalipwa huku alisimamishwa ubunge. Huko nje inaonekana dishi limekata maana hata wale mashoga hawasikiki tena kumpa hela. Huku mbowe naye juzi kaingia ikulu kumuona samia mifuko ya jumper coat iko flat, kutoka imetuna.
Kudai katiba hakika ni agenda mkakati wamepewa ili kuitoa nchi kwenye reli ya maendeleo.
 
Mbowe ni kiongozi wa umma alipaswa kuangalia nchi inataka nini katika mazungumzo yake na mama sio kufunguliwa account zake za fedha au kurejeshewa bilikanas
Mkuu, unajua mazungumzo yalipofikia na ni mambo yapi hasa yamezungumziwa?

Mimi sijui.

Ila ninachoweza lalamikia ni ishara anazotoa Mbowe sasa hivi zinazoonyesha kana kwamba ajenda za CHADEMA zinafukiwa chini ya ajenda za Mbowe!
Mtu akikufanyia wema, ni vizuri kumshukuru,. Hii haina maana kwamba shukrani zako zitakuwa zimeondoa shaka zote juu ya mambo mengine mnayotofautiana kati yenu, ambayo ni mambo mtakayoendelea kuyajadili katika mazingira yasiyokuwa ya uhasama.
Hili linahitaji Mbowe alielezee waziwazi lieleweke kwa wanachama wa CHADEMA na wananchi kwa jumla.
 
Hili ndilo linalohitaji mjadala makini zaidi. Linahitaji mada iliyoandaliwa kwa makini, kutenganisha maslahi binafsi na maslahi ya wengi, ya nchi.

Mbowe, Lissu na wengineo walioathirika chini ya ukandamizi wanayo haki kabisa ya kumshukuru kiongozi (Samia) aliyehakikisha haki zao zinaheshimiwa; lakini hiyo haina maana kwamba agenda waliyokuwa wakiisimamia chini ya chama chao ndiyo iwe imesahaulika.
Kama Samia na CCM yake wamekubaliana na Mbowe na CHADEMA kwamba yanayosimamiwa na vyama vyao sasa yako pamoja, basi wachukue jukumu la kueleza jambo hilo kwa wananchi wajue; na ieleweke kwamba sasa CHADEMA na CCM na kitu kimoja.

Hili hawajaliweka bayana. Wananchi wanasubiri kuambiwa, au waonyeshwe dalili zilizo wazi kabisa, kwamba vyama hivyo sasa vipo pamoja katika mambo wanayoyasimamia.
Chadema na ccm haviwezi kua pamoja. Kinachofanyika ni kuutaka upinzani kufanya shughuli zake kwa lengo la kujenga nchi. Sio kufanya siada za uzushi na uongo.
Kwa upande wa ccm ni kuheshimu uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zao kama wanafanya siasa kwa mujibu wa sheria.
 
Hapa bongo wanafiki ni wengi sana wakiongozana na wajinga wasio jielewa n wasomi wasomi wajinga
Toka mbowe yuko ndani familia yake kaiacha huko uraiani hakuna mtu alieandamana zaidi ya kuzidisha machungu ya kumwita gaid
Viongozi wangapi wa chadema wameswekwa ndani.hakuna alieandamana waka kuonesha uahirikiano
Wabunge woote wa chademA wamenyanganywa ubunge hakuna alieonyesha kujari wakapiga makofi kupongezana
Lisu kapigwa risasi zaidi ya 7 mwilini watu wanakebei wanauliza maswali yasio ya msingi mtu kapigwa risasi akiwa kazini?!inauma Asee hata
Nimeuondoa mstari wa kwanza katika 'quote' ya andiko lako hili ambalo ni la ukweli mtupu.

Bila shaka Mbowe mwenyewe amekwishajiuliza mara nyingi sana juu ya haya uliyoweka hapa.

Si hivyo tu, leo hii, kama Tundu Lissu angeuawa kule Dodoma, leo hii nani angekumbuka uwepo wake, na sababu zilizosababisha auawe?

Kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana. Watu unaowaongoza na yale unayopigania kwa faida yao, baadhi yao hawaoni na kushukuru kujitoa kwako kupigania hayo ya wananchi. Lakini kama wewe ni kiongozi unayejali kwa dhati unayopigania, huwezi kukata tamaa kwa vile baadhi ya hao unaowapigania hawaoni/hawaonyeshi shukrani juu ya juhudi zako unazofanya hadi kujitoa mhanga juu yake.
Huo ndio uongozi, usiosubiri shukrani kama ujira wa kuendeleza mapambano.

Mbowe hana sababu ya kukumbuka masimango na kukosa shukrani, kama alikuwa na dhamira ya kweli ya kupigania haki za wananchi.
 
Watanzania punguzeni kulia lia mnatia aibu, mnataka mtetewe kwa kila jambo, lini mtasimama wenyewe kujitetea? Mbowe kawatetea sana mwishowe kakaribia kufilisika, acheni apumzike atengeneze njia za kuish wanae na wajukuu zake, zamu yenu diaspora kuja kupambana sasa

Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Chadema na ccm haviwezi kua pamoja. Kinachofanyika ni kuutaka upinzani kufanya shughuli zake kwa lengo la kujenga nchi. Sio kufanya siada za uzushi na uongo.
Kwa upande wa ccm ni kuheshimu uhuru wa vyama vya siasa kufanya shughuli zao kama wanafanya siasa kwa mujibu wa sheria.
Mkuu 'kmbwembwe', utakuwa umekwama mahala katika nyakati.

Mambo siku hizi yamebadilika sana, siyo yale ya zamani.

CCM na CHADEMA - Magufuli alikuwa na CCM yake, ambayo sasa hivi ni tofauti na CCM ya Samia. Kwa hiyo unaposema "CHADEMA na CCM haviwezi kuwa pamoja", inaonekana wazi wewe bado upo enzi za kale.
Tazama anayoyahimiza Samia na CCM yake: "Kufungua nchi", hapo wewe unaiona tofauti iliyopo na anayoyasema mara nyingi Mbowe na CHADEMA yake?
 
Kama hizo ni kauli za diasport basi itoshe kusema ni WASENGEREMA na akili zao Hazina akili kabisaa! Kwa hiyo walitaka Mbowe asilipwe fedha zake alizodhulumiwa na yule Shetani wa Chato! Au akilipwa amtukane Rais ili awe mpinzani kweli?! They should learn to give credit where it is due!
Waache upumbavu wao, wakati anafilisiwa na kufungwafungwa jela walifanya nini kumuokoa?
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Hao wanaojiita diaspora wataishia kuwa diaspora hivyo hivyo na bahati nzuri hawana haki ya kupiga kura..

Kazi Yao itaishia kupatuka tuu.
 
Nchi hii imewahi pata viongozi Wazalendo wawili tu Mwalimu Nyerere na Hayati Dr JPM hawa wengine ni wachumia Tumbo ,hata tukiwapa Nchi watauza kila kitu .
Usipende kumchafua Mwalimu kwa kumuweka kwenye kundi moja na huyo kichaa ambae hakuna popote kuna maandishi yake yakatumiwa japo kwa kujifunzia..
 
Umekosea mkuu mi nadhan tanzania bado hatujapata kiongozi hasa anayejali wananchi wake
Kiongozi anaejali watu wake ni SSH ndio maana anafanya mageuzi makubwa yanayoonekana kwenye sekta zote za Kiuchumi na kijamii..

Ila yule anaeitwa Baba wa Taifa namheshimu ila simkubali kabisa...

Mtu yule ndio amesababisha Nchi hii kukaa wajinga na maskini kwa sababu mda wote alikuwa anapiga maneno kwa kauli mbiu nyingi Sana lakini akiwanyima watu wake elimu na fursa ya kumilki uchumi..

Tuko hapa Leo kwa sababu ya siasa zake mbovu zilisozalisha watu wa kulaumu,ulalamishi,uvivu na wapiga majungu na maneno mengi Sana .
 
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara.

Diaspora wameenda mbali zaidi na kusema halikadhalika kwa Tundu Lissu baada ya kupata stahiki zake za Ubunge wote kwa pamoja ndio wanamsifia lakini Diaspora wanasema Rais Samia hajabadilisha chochote kwenye demokrasia ikiwemo mikutano ya kisiasa mpaka sasa bado hajaruhusu na kwamba Mama ndie aliyeanzisha tozo kuwaumiza zaidi wananchi maskini wa Tanzania.

Watu makini hawafanyi vitu kwa papara, lazima kuandaa mazingira yake kwanza. Ninaloliona ni kwamba kuna maadalizi yanafanyika. Watu wawe na subira na hekima badala ya kuropoka ropoka.
 
Magufuli alikataa kufanya urafiki na hao jamaa ndo maana walimkosoa kila sehemu ya nchi..ila Sasa mambo shwari na ikulu wanakwenda.
***** zao hao, Mbowe Masaibu aliyopitia angekuwa lege lege angeunga Juhudi mkono tangu enzi zile za Jiwe.

Hakuna cha bure chini ya Jua.
 
Back
Top Bottom