Dilemma yangu kubwa ni hii: Je ngono ita unlock matatizo zaidi?, msaada!.

Huwa najiulizaga ina maana ngono ndo inaletaga mikosi? Huwezi ukaifanya ukapata baraka?
Mfano labda mimi nna Baraka nyingi, nkakutana na dada mwenye mikosi mingi ,hapa kinachohamishika ni mikosi ya huyo dada tuu?
Ziko variable kutegemea umekutana na nani na ni mtu wa aina gani.
Ndio maana mimi nikipataga mwanamke huwa nahesabu hasara ninazopata na dili zinazoongezeka wakati nikiwa naye.
Yaani kwa mfano nimepata mwanamke halafu tangu nimpate inakatika wiki au wiki 2 simu haziiti namtema lakini ikiwa nimempata halafu simu zinaita sana na mihamala inaongezeka kwa spidi najua yuko vizuri kiroho.
 
Mzee point kabisa hii
Kweli ni point lakini kati ya hayo (ngono -live au kujichua); matokeo (end results) ya ngono-uzembe zina maumivu makali mno na tena ya muda mrefu na pengine yasiyotibika/rekebishika. Matokeo ya kujichua hutibika tena kirahisi sana na kwa muda mfupi alimradi tu uzingatie maelekezo. Ngono huathiri watu wawili au zaidi(Mtenda na Mtendwa) ilhali kujichua huathiri mtu mmoja tu.
Chagua mwenyewe.
 
Binafsi sioni hivyo kabisa.

Ila naamini kwenye maisha kuna sheria zisizozungumzwa ambazo watu wanafuata bila kupenda.

Tutaimbiana sana kwamba ngono ni mbaya ila watu watafanya tu, kamwe hawatoacha.
 
Punyeto ndio sio kabisa ni kujitia mikosi na Gundu.
Ukitaka Dili zako ziwe zanaharibika kila wakati endekeza kupiga punyeto
 
Punyeto ndio sio kabisa ni kujitia mikosi na Gundu.
Ukitaka Dili zako ziwe zanaharibika kila wakati endekeza kupiga punyeto
Hata mimi naona punyeto ni mbaya sana, Nakumbuka kipindi hiko nikiwa mwanachama mtiifu ilikua nikimaliza tuu kukitupa najiona mwenye hatia sana, tofauti ukilala na mwanamke sana sana ukimaliza unaanza ku calculate hasara ulioipata kiuchumi lakini sijawahi kujihisi mwenye hatia baada ya sex
 
Laana, mikosi, nuksi, balaa, gundu na baraka ni ILLUSIONS tu.

Hazipo.

Na wala hazina uhusiano wowote na Ngono.

Ingekuwa hivyo, Malaya wanaolala na Matajiri wangejipatia baraka za hela na uchumi wao kukua.

Lakini wanaishia kujiuza hadi wanachoka na kubaki na umaskini wao.
 
Hiyo hatia inaletwa kwa sababu ya imani za kidini.

Wala si kwamba punyeto ni mbaya.

Shahawa unazomwaga ukiwa na mwanamke ni shahawa zilezile unazomwaga ukijichua.

Hakuna madhara yoyote ya kiafya hapo.
 
Mtu wa aina hiyo kuna namna ya kumtambua ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…